10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

129Kingine ni kuhusu girl child education: Girl child education kwa… samahani nimeirudia lakini nairudia kidogo.Kuna mzee asubuhi alikuwa ameongea juu ya wanawake hapa sana anasema wanawake hawana haki, ama kimila yaowanasema ati mila ya Kiborana…Com. Lethome :toa yako sasa.Tafadhali fanya hivi Salo wewe toa mapendekezo yako wachana na mzee alitoa yake weweMama Salo Abdi :Kwa hivyo huyo mzee sasa alisema wanawake wakuwe mstari wa nyuma. Sasa sisi akinamama tumekataa, tuwekwe mstari wa kwanza kwa kila kitu. Kwa hivyo ni hayo asanteni.Com. Lethome : Haya asante sana. Kuna huyu mama wa mwisho Maumina Halkano ama hayuko. Haya njooHalkano. Wewe toa maoni yako wachana na mzee alisema. Wewe toa yako sasa. Mzee alisema yake wewe toayako sasa.Mama Mumina Halkano :Asalaam Aleykum!Com. Lethome :Jina.Mama Mumina Halkano :Kwa jina mimi naitwa Mumina niko na mapendekezo machache lakini...Com. Lethome :Karibia mic.Mama Mumina Halkano :Ama ni shike.Ngoja ngoja nitajaribu ku. …[inaudible]… Kwa sasa niko na mapendekezo mingi.Com. Lethome :Abdilahi njoo usaidie mic bwana!Mama Mumina Halkano :kingereza nitakuwa nikisoma.Sasa niko na mapendekezo chache nitaongea juu lakini nime andika kwaCom. Lethome :… mic it is not my work…Mama Mumina Halkano :Nitakuwa nikisoma halafu nitarudia kwa kiswahili juu.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!