10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

165Mr. Abdi Dida :Pendekezo langu ninataka hivi kile ambacho wanapewa Wakenya wengine tupewe hivo hivo.Hiyo bunduki tupate ambayo North Eastern wamepata hata sisi pia tupate.Com. Lethome :Haya sawa hiyo na ingine?Mr. Abdi Dida : Ya pili mimi kwa kabila Wata mimi ni Wata. Ni Wata siwezi kuficha kabila yangu nayoisitoshe kwa wanyama waporini kuhusu babu zetu zamani tunasikia mnyama wa pori ni wa Waata. Nailipofikakiwango yetu tumeona imenyakuliwa na Serikali. Vile awali mzee alikuwa amesema hapa imenyakuliwa naWaborana hiyo ni uwongo, hiyo imenyakuliwa na Serikali. Kwa mapendekezo yangu nataka huyo mnyama arudikwa Waata.Maswali yangu ni hayo. Asante sana.Com. Lethome :Asante sana. Abakula Geresa?Mr. Abakula Geresa : Asalaam Aleykum! …[Arabic dialect]… Mimi ni Abakula Geresa na vile mnanielewakuwa mimi ni mwanasiasa, nikijana mdogo ambaye anapigania kiti ya udiwani ward ya Garbatula. Yangu nimadogo tu kwa sababu nyingi yamesemwa mbele yangu. Nitazungumza juu ya uwaalimu. Waalimu upande yaSerikali wanatambuliwa wanapata mshahara na wanaangaliwa kwa njia yoyote. Hawa pia waalimu tuko nao waWaislamu pia ni waalimu vile vile. Napendekeza waalimu wa Waislamu walipwe mshahara ama kitu yoyoteambayo waalimu wa Serikali wanalipwa ama the Ministry of Education walipe wale waalimu Waislamu vile vile.Ya pili mimi nazungumza juu ya District Development Fund hiyo pesa iko katika budget ya Serikali uwa inakujakatika District level na hiyo pesa ambayo inakuja katika District Level vyenye inatumika sisi wananchi hatuelewi.Com. Lethome :PendekezaMr. Abakula Geresa :sijachelewa naye. Nawe isiniharakishe kidogo ndugu.Nitapendekeza Mr. Ibrahim lakini bado sijachukuwa nafasi ama sijachukuwa badoCom. Lethome :HayaMr. Abakula Geresa : Na hizo pesa ambazo District Development Fund inakuwa katika budget na inakujaDistrict na hiyo pesa inakuja under District, District <strong>Commission</strong>er, Dc. Na hiyo pesa mimi napendekezakwanzia sasa ipitishwe katika hii Katiba kuwa sisi pia tukona ...[inaudible]... watu ambaye wanajua mambo ya

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!