10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

135Com. Lethome : Asante. Sasa mwenye ku-record pale analalamika anashindwa ku-record. Ile tape recorderyake ikifika Nairobi itakuwa na kelele nyingi sana. Kwa hivyo mkishangilia kidogo mnampatia nafasi wakati mtuanazungumza ndio aweze ku-record. This is historical, you know, this is something historical. Hii kitu itawekwa<strong>Kenya</strong> mzima watajua watu wa Garbatula walisema kitu gani. Five hundred years to come. Wajukuu na wajukuuwatakuwa wakisikiza hiyo cassette. Huyo kijana atakuwa ni babu siku hiyo. Wewe uta kuwa ni ayeyo siku hizo.Inatakiwa hiyo record iwe clear. Kwa hivyo tafadhalini tupunguze kelele. Haya tusikize Mohammed Tuka kamayuko? Tuka yuko? Hayuko? Mohammed Ali Jare? Hayuko? Idris Boru Ali. Haya. Halafu Adhan Dege afuate.Mr. Idris Boru Ali :Boru Ali kutoka Kinna.Asala Mualeykum Aleykum! Waramatulah Wabarakatu. Kwa majina mimi naitwa IdrisMimi pendekezo langu ya kwanza nina anzia na Arms of Government. Arms of Government. There are threearms of Government Judiciary, Legislature and Executive. Katika hii sheria ambayo tuna unda sasa ningependakusema ya kwamba let these three exist but all of it to be independent bodies, Judiciary to be independent,Executive to be independent, Legislature to be independent.Ya pili kuhusu hiyo under the Judiciary Kadhi anafaa kuwa na uwezo sawa na mahakimu wa Serikali. He shouldhave equal powers with Government Judges. Ya pili makadhi wanafaa kuteuliwa na Maglisual Ulamaa board of...[inaudible]... Kwa sababu ...[inaudible]... ndio wanafahamu dini sawasawa na wao ndio pia wanafahamu mashartiambayo Kadhi angefaa kutimiza. Sio Presidential appointee wala Public Service Appointee. Makadhiwachaguliwe na body.Ingine pendekezo langu kati miji ya Waislamu bars za pombe hatutaki kwa sababu dini yetu haikubali na hata milayetu haikubali. Hata dini ya Kristo haikubali. Mimi pendekezo langu kuhusu hii pombe ipigwe marufuku. Beerto be illegalized to be banned in this <strong>Constitution</strong> that we are forming now.Pendekeza langu lingine, katika court ya Serikali tunataka sheria mpya iwekwe ya kwamba Muislamu asiinameakiingia court. Pendekezo langu lingine, tunataka sheria mpya iwekwe ya kwamba Judge Mkristo au mtu Mkristoasishike kitabu tukufu ya Koran kwa mkono wake.Pendekezo langu lingine, Ijumaa iwe siku ya mapumziko ya Waislamu kwa sababu ya sala ya Ijumaa ambayo nimuhimu sana. Pia ningependa kusema mwezi tukufu wa Haj Waislamu ambayo wako na uwezo ya kuenda sikuhiyo wasiweze kuenda siku hiyo kwa sababu ya ukosefu ya nafasi wala si ya mali. Hii haswa ni kwa wale nduguWaislamu ambaye wana fanya kasi ya Serikali.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!