10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

145kimbia tu kwa Do na Do ukikimbia hapa ni kwa Dc. Sasa hawa isipokuwa huyu ni mdogo huyu ni katikati na yulemwingine mkubwa wa wote in chain of command ni kitu moja Chief akiwa anakuja kufanya makosa hapa anajua tuhiyo ili kuwa ni command ya Do, na Do akiamrisha Chief namna hiyo ikikuwa ni command ya Dc. Kwa hii watuwakishtakiwa hakuna namna wewe unaweza shtakia watu wote, ni mmoja tu.Tunataka Koti ambayo ni independent ambayo tunashtaki watu wafanyikazi wa Serikali wote ambayo ipitishwekwa Katiba mpya ili hawa hawahusika na administration halafu ikiwa Kotini na jengwa sisi tunashtaki hataikiwa nimfanyi kazi yoyote wa Serikali ikiwa ana fanya makosa hatuwezi enda... Kama polisi tuseme tunashtaki kutokahapa naenda kwa Ocpd mjamaa wakati wewe unaondoka hapa tu ameanza ku-contact yeye naongea na yeye halafuwewe ukikuja namna hii mambo yote inaharibiwa na yeye hataki kusikia wewe.Na unapata gharama ikiwa sasa tena hawezi kuchukuwa ile maoni yako lakini tukipata Kotini independent kamahiyo nafikiri tunaweza kusaidiwa. Kwa sababu wale wanakaa hapa. Najua kabila ya <strong>Kenya</strong> arubaini na mbili miminataka ongeza hiyo pia. Wakati ambayo Katiba ilikuwa inatengenezwa bado wake watu wa <strong>Kenya</strong>, tunakaa namnagani pamoja. Bado ongea namna wale ambayo wanapigwa transfer hapa wanaletwa hapa nachukuwa wewe tu kamamnyama hawezi kuchukuwa kama binadamu. Kama ni mkubwa nafikiria tu mimi nitatajirika namnagani ili nirudinijenge kwangu lakini mahali anasimamia yeye hajui sio kabila yao, lugha sio moja, dini sio moja, hakuna hurumayoyote ambaye iko nayo na huyu wananchi wanakaliwa kwa hivyo sisi tunataka ikiwa mambo kama hii sasainaendelea Kotini kama hapa tunapata inaweza kutusaidia mambo yoyote kwa sababu wale ambayo wako hapa wotesi watu wako na huruma na binadamu kwa sababu wewe saa hii ukipelekwa police station utastuka kwanza. Nahawo watu wanakaa hapa kwa sababu huduma yetu si ati wanakuja kushtuwa sisi namna hiyo. Ndio kwa ajilitunataka kuwekwe Koti.Com. Lethome :Asante Ndugu.Mr. Ahmed Noor Wako : Nitamaliza. Moja mimi naongea ni mambo ya transfer. Mfanyikazi wa Serikalianakuja makosa hapa anafanya makosa hapa na kosea watu hapa makosa kubwa anaweza fanya corruption anaibamali ya watu halafu nyumae wakati unalalamikia juu yake zaidi inasemekana huyu atapigwa transfer mahalipengine ili aende aharibu mahali pengine kama hapa tu. Kama ni Headmaster wa shule hawa watoto yeye anakujakusimamia hapa, watoto wanaanguka mtihani halafu nyumae mwalimu mwingine anakaa huko tuseme upande yaDawa.School inaendelea vizuri anapigwa transfer kutoka hapa anapelekwa kwa shule ambayo inaendelea vizuri nakwenda kuvunja ingine pia. Navunja mahali pengine. Mimi napendekeza ya kwamba mtu akifanya makosa yoyoteasipigwe transfer aadhibiwe na makosa yake mahali ambao yeye anaishi bila kupeleka na anakwenda kuharibu watu

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!