10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

66Com. Muigai :Asante sana. Hassan Ado. Na ujaribu tafadhali... ujaribu ku... fanya haraka haraka... tafadhali.Mr. Hassan Ado : ...[Arabic]... Nafikiri yangu sio mingi wala sio chache. Na nita ...[inaudible]... nita pitiapitia, haraka. Yangu ya kwanza, ni ya Kadhi. Jina ni Hassan Ado. Kadhi. Napendekeza Kadhi achaguliwe na...[Arabic]... sio Serikali wala sio mawaziri. Kwa maana hawajui Kadhi anatakiwa nini. Kadhi kama tulikuwa...wengine wame zungumza juu ya rais. Kadhi ni rais ya Kiislamu. Na apewe Kadhi nguvu kubwa zaidi, powerkubwa zaidi ya kuhukumu. Kwa maana power yeye ana hukumu naye ni power kubwa ambaye imetokana kwauwezo ya mwenyezi Mungu, Koran tukufu. Kadhi anahukumu kila jambo. Anahukumiwa na Judge, ana zaidi yaJudge. Anaweza kuhukumu chochote kinachotendeka kwa dunia hii. Kwa maana mwenyezi Mungu amesema yakwamba Koran ...[Arabic]... mwenyezi Mungu ame sema Koran ni hukumu ambaye ilio pita, na hukumu ambayoinangojea wale hawajafika. Kwa mithali Kadhi hawezi kuhukumu hii kidole, ikikatwa ama ikifanywa chochote.Kadhi ana hukumu ...[Arabic]... hii, hii moja kwa moja. Iko katika ...[Arabic]... ya Koran tukufu. Kwa maanainapendekeza hukumu ya Waislamu ...[Arabic]... ya Waislamu wa rudi chini ya Kadhi. Na Kadhi ichaguliwe na...[Arabic].......[Arabic]... ina zungumzia kwa ...[Arabic]... kwa wale ambaye wana fiiwa. Kama vile mama moja alikuwa amepitiaasubuhi. Mama ikiwa bwana anawacha yeye. Bwana ana agaa. Ninaomba... ama ninatoa maoni ya kwamba mamahuyo, ikiwa yeye ni mfanyi kazi ya Serikali, apate ruhusa wa mwezi nne na siku kumi. Muda ya huzuni. Na sheriayetu inakubalia kuolewa kwa baada ya siku... mwezi nne na siku kumi. Ninatoa maoni. Akiwa mfanya kazi yaSerikali, inakufa nabibi inabaki. Asiteswe hiyo mwanamke. Na asiangamizwe mpaka yeye apate... asiolewempaka yeye apate haki ya bwana yake. Huyo hapana fungwa pamoja, katika Koran. Bibi aki maliza ...[Arabic]...yake aolewe na mtu yeye anapenda. Kwa maana tunaona mengi bibi aki... bwana akiaaga mwezi huu ...[Arabic]...aki malizwa na Mama huyu amezaa, wale family ya bwana na ya bibi, na family ya bwana mara ingine hapanasikilizana wanangojea huyu mama aolewe. Akiolewa hapati haki ya bwana yake. ...[inaudible]...Ninatoa maoni, maoni yangu iwekwe katika Katiba, mwanamke Muislamu... ana fiiwa akimaliza ...[Arabic]... yakeya siku... miezi nne na siku kumi aolewe....[Arabic]... likizo ya wakati ya wakina Mama wanajifungua. Wakina Mama wa Kiislamu sheria yetu haikubali,mtu azae kiasi kadhaa. Azae wawili ama azae ka... watatu, alafu afanye family planning. Family planning. Nina toamaoni yangu hiyo kitu iondolewe kwa Waislamu. Wanawake wetu wazae, wanawake Waislamu hataikiwamwenyezi Mungu anampa hata ishirini malisho yao, sio juu ya binaadam. Wala sio juu ya Serikali. Ana lishwa na...[Arabic]... Unasikia sasa ya kwamba wa kina Mama waki jifungua zaidi ya watatu hapati maternity leave. Natakahiyo iondolewe.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!