10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

140create fear watu waogope kuingia kwetu. Na watu wakiogopa kuingia hakuta kuwa na maendeleo. For the samesystem.Com. Lethome :Asante. Tafadhali maliza.Dr. Adhan Dege Guracha :hayo tu. Na nasema shukran.Nafikiri kwa sababu mengi yamezungumzwa na muda pia hapa ni haba. Yangu niCom. Lethome :Dogo kama yuko. Yusuf Dogo?Asante Yusuf Dogo? Yuko? Abduba? Gtdo yeye ana maandishi halafu afuatwe na YusufMr. Abduba Mollu Idu : Asalaam Aleykum! Mimi sita ya rudia yale yamesemwa. Lakini nitagusia tu yaleambayo nafikiria hayajaguswa na wenzangu wale wameongea. Ya kwanza ningetaka kugusia aina ya Katiba.Tungeuliza Katiba ambayo tunatengeneza sasa ikuwe, iandikwe katika lugha ya Kiswahili na pia kwa lugha yakingereza. Na pia ikuwe inaweza kupatikana kila mahali, public places, kwa mashule, na libraries free of charge.Na pia wale wanataka kununua ziwekwe, hii <strong>Constitution</strong> ikuwe kila mahali in bookshops so that kila mtu anawezakusoma na kuelewa ni sheria gani ndio inamuongoza.La pili nasema hii Katiba pia iandikwe kwa lugha rahisi ikuwe clear na pia iweze kufuatiliwa. Kuna swali ambalotunajiuliza katika siku za usoni. Hii Katiba ya mbeleni inaonekana haijakuwa enforced? Hii Katiba ingine lazimaikuwe enforceable na pia maongozi haya ambayo yatakuwa katika Katiba yaweze kufikia kila mtu kwa njia ya CivicEducation. Tunaamanisha ya kwamba Civic Education iweze kuweko even after <strong>Constitution</strong> imetengenezwa. Iliwatu waweze kuelewa ni nini ina waongoza. Nimesema sita ongea kila kitu kwa sababu tumeandika.Jambo lingine ni kwamba tumesema Provincial Administration ifutiliwe mbali. Hiyo haina maana kwetu natunaona badala yake Local Authorities ikuwe empowered na wakuwe sensitive to the needs and aspirations of allcitizens.Tuingie mambo ya Legislature najua haya hayajaguswa kabisa tunaongea mambo ya wajumbe. Tumesema yakwamba kuwa mjumbe awe na full time job. Nina maana gani? Wajumbe wana mshahara kubwa lakini unakuta yakwamba wajumbe wako at their own discretion wanaingia Bungeni mtu anakaa three minutes, five minutes ameregister for his allowance ametoka. Maswali yanakuja mjumbe hayuko, Minister hayuko. Kwa sababu anakulamshahara kubwa kubwa tunasema kazi ya mjumbe ikuwe full time job, since they are paid fully. Na pia tunasemamjumbe akuwe na ofisi katika mahali ya uwakilishi Bungeni. Na pia akuwe na wafanyikazi ambayo wata hudumiaraia katika hizo constituencies. Sio Mjumbe atafutwe in the streets of Nairobi.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!