10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

112Mzee Haro Sime :Aarmmaa kheessaa baahaa asanteni sana.Com. Muigai :Haiya Asante.Com. Lethome : Ndugu zangu sikizeni sasa tukiangalia hapa kwenye list ambayo tukonayo tuko na watukaribu sitini hawajazungumza tafadhalini tunawaomba wale ambao wataitwa sasa dakika mbili unapendekezaunapendekeza, kila moja anataka kuzungumza tafadhali. Nausirudie yale ambayo yamezungumzwa tafadhali. Kilakitu kime-record-iwa pale hakuna neno ambalo limepita. Tafadhalini tusikizane ndio ikifika saa kumi-na-mbilikila mmoja awe ameweza kuzungumza. Tafadhalini. Hebu Hussein waambie kwa Kiborana mimi siwezi.Ningejua Kiborana ningewaambia.Translator : Oobboleyaan waan issan kaadaan jeedaan, waaltiin dheemuu jiirt, naamuu maaooni issaakeenaacuu feed, naamii ammaa aarm gaadh eejjat, dhaaqiqqa laam caalaa khaa fuudaatutii, ann akhaan feed annakhaan feed jeedee haagganuumaa gaabbabsee keessaa baauu, akh yoo issin saa kuudaanii laamaa geett, naamuumaaooni issaa keenaat, oobboleeyaan tiyya akhaas woolii saabblimnaa naamuu maaooni kheenaat woldhuuraadhaabbarsiinaaCom. Muigai :Councillor Dabaso?Com. Muigai :Hassan wa Action Aid?Com. Muigai :Dr. Sama A. W. Sama?Dr. Sama Abdubwa. W. Sama : Ma-commissioners ambayo wako hapa wananchi wa tabaka mbali mbali nawengine ambayo wamefika hapa. Asalaam Aleykum! Asalaam Aleykum tena! Mimi jina langu ni AbdubwaOsama. Nafikiri wengi tumekutana nawana nijua. Mimi ni moja wapo wa wagombea kiti cha Isiolo SouthConstituency. Na nitatoa maoni yangu binafsi na vile ma-commissioners wamesema nitafanya haraka haraka kwamaana mengi yame semwa na wale wamenitangulia.Jambo la kwanza ambalo nataka kuzungumzia ni juu ya ardhi na matumizi ya mali ya umma. Bwana<strong>Commission</strong>ers kama mnavyojua ardhi yetu sisi kama Waborana tunamiliki kama jamii moja. Sisi ni kabilaambalo tunategemea mifugo na ardhi zetu tunamiliki sisi wote kama jamii ya Borana. Lakini kama mlivyosikiatumepata sana matatizo ambayo inahusu hii ardhi. Ya kwanza kama mlivyosikia hapo mbeleni nchi yetu ambayomajirani wametunyanganya ardhi zetu na sisi bila kuhusishwa ardhi zetu zimeenda. Tunataka <strong>Commission</strong> hii itiemaanani ichukuwe maoni yetu naipitishe ya kwamba katika Katiba mpya ambayo inakuja wasema kwa dhati na bila

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!