10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

123Sheikh Salad : Okay sawasawa. Mimi nitasema machache huo muda ambayo tumepatiwa na hawama-commissioner ni wachache sana tungeliomba hawa wakati ingine wakirudi wasituharakishe hivyo kwa sababutumetoka Kulamawe tuko na maoni mingi sana.Maoni yangu ya kwanza. Mimi naongea juu ya Kadhi kwa sababu watu wengi wameongea juu ya Kadhi na shida yaKadhi sisi ndio tunajua kwa sababu sisi ni committee yake na mmoja wao ni mimi. Kwa sababu hiyo mambo yaKadhi hao ndugu zetu ...[inaudible]... hii maneno sikiza vizuri.Com. Lethome :SawaSheikh Salad : Hii maneno ya Kadhi Serikali ya <strong>Kenya</strong> kama Waarabu Wasaudia wanavyojua hii Serikali ya<strong>Kenya</strong> sio Serikali ambayo inahukumu juu ya sheria ya dini ya Kiislamu. Kwa hivyo mambo mingi sanawamepelekwa kwa Kadhi kesi mingi sana wamepelekwa. Nitafafanua ndio wajuwe shida gani itarekebishwa iweKadhi wetu mkuu ambaye anakaa Mombasa wacha hiyo ya Mombasa hata hii yetu ya Isiolo ako na shida kubwasana. Kwa sababu katika sheria ya dini ya Kiislamu, kwa sababu Kadhi ata hukumu juu ya dini ya sheria ya dini yaKiislamu. Kesi mingi ambazo mtu anafanya maovu, kijana ambaye haja oa msichana ama msichana ambayehajaolewa katika sheria yetu utapiga viboko mia moja na sheria ya Serikali inakataliwa kwa Katiba ipitishwe iwesheria ikubaliwe.Na mtu akiiba sheria yetu kulingana na Koran inakata mkono na Serikali inakataliwa hiyo hukumu. Na mwanaumeambaye ameoa ama mwanamke ambaye ameolewa katika sheria yetu ya Kiislamu una uwawa na sheria ya Serikaliinakataza. Kwa hivyo kesi mingi sana ambazo imeletewa kwa Kadhi na Serikali inakataa na hiyo Kadhi anakaakama ...[inaudible]... ndani ya ofisi. Kwa hivyo sisi tunasema baadhi ya wandugu wetu walisema Kadhi achaguliwe.Kadhi asha chaguliwa tayari, lakini hana kazi.Mambo nyingine sisi Waislamu tukiwaa tumevaa mavazi ya Kiislamu tumekuwa magaidi hiyo majina magaidiiondolewe kwetu. Kwa sababu sisi tulishangaa tarehe kumi-na tano mwezi wa kwanza sisi tumeenda kwa seminarya Mombasa. Polisi walitunyanyasa sana ndani ya hii seminar na tuko na Kadhi wetu siku hiyo. Na yeyemwenyewe amenyanyaswa sana. Sasa kama Kadhi mkuu ambaye sisi tuko pamoja hana say kwa Serikali. Sijuisasa sisi maneno yetu tutapeleka wapi. Kwa hivyo mambo kusema ufisadi kwa sababu Osama alifanya vita naAmerica sisi tuko ndani ya kumpatia hata kama tunaona tuko na nia ya Uislamu ambayo tuna-support hatuweziku-support kwa maovu lakini tuna-support mtu yoyote ambaye ana haribu dini yetu tutakuwa adui kwake. Sisitumeamua haya maneno, kulingana na dini yetu, kulingana na taratibu ya Koran. Kwa hivyo Waislamu wakivaamavazi ya Kiislamu hata ndani ya Nairobi wana shikwa wanasema haya ni mavazi ya Osama.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!