10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

55Ya mwisho kabisa natakakusema hivi. Katika Kotini ama katika bunge wakati yakuapisha ma-ministers amawabunge kuna kitabu ya Koran zimewekwa pale. Kwa mfano hiyo kitabu kama wewe ni Muislamu unapatiwa namtu ambaye sio Muislamu. Tunataka hiyo kitabu wakati wakupatiwa mtu yule ambaye ni Muislamu anaapishwapale ipatiwe kwanza ishikwena Muislamu. …[Vernacular]… Kwa hivyo hiyo kitabu tunataka yule mtu ambayeanaapisha ama anapatiana hile kitabu awe ni Sheikh Muislamu awe pale halafu kama ni kuapisha yeye mwenyeweaapishe sio Mkristo a shike ama mkafiri mwengine, kwa mfano mwakajana mimi na kumbuka huyu assistantminister wetu wa hapo mjumbe wetu ameapishwa na [?] siambaye hata Muislamu sio Mkristo mkafiri. Kwa hivyohiyo ni haramu katika sheria yetu. Hiyo kitabu katika Kotini katika hiyo ujenzi ya bunge asiguswe mtu ambaye sioMuislamu hana tahara.Kwa hivyo nimemaliza mapendekezo yangu hapo.Kwa moja kuna dhulma hapa kubwa, kwa mfano hiyo ofisi ni yetu ya County Council, mnakuta hapo Eck, IsioloSouth Constituency. Hii ofisi ni wa wananchi Serikali ikikuja inatumia watu wa Electoral Commision of <strong>Kenya</strong>wako na pesa yao ambaye wamepatiwa na Serikali. Unaonawakati ingine pale imepanguswa Moi alipokuja hapoineandikwa Kanu <strong>Of</strong>fice. Mimi mwenyewe ni mshahidi hapo mnweza kuona tu. Pahali imepanguswa imepakwaile bendera nini ya Kanu ikaandikwa… hii sasa tunataka Kanu wakikuja walipe kwa County Council, Electroral<strong>Commission</strong> wakikuja kutumia hiyo ofisi walipe kwa County Council.Kwa hivyo minamalizia hapo. Asanteni sana.Com. Muigai :Mohidin Ali? Mohidin Ali? Yuko hapa, kabla huja anza useme jina yako tape ichukuwe jina.Mr. Mohidin Ali : Asalaam Aleykum! …[Arabic dialect]… Mimi naitwa Mohidin Ali mimi ni kijana waGarba. Mimi niko na mapendekezo kadhaa. Mimi ni kajana Muislamu na baada ya hayo mimi ni kijana mboranaya kwanza kabisa ni kuhusu Uislamu mimi ya kwanza kile mimi napendekeza ni kutaka sheria ia islamu ituletewehapa na wale wanatunia hiyo sheria wawe Waislamu.Ya pili kuhusu vijana sisi wavijana Waborana hakunu Serikali inatugundua, masomo yetu haigunduliwi miminataka kusema masomo ya vijana wa Kentya wote wawe sawa. Kabila gani, mborana, mkikuyu, mkamba wawesawa.Zaidi ya hayo mimi kama kijana Muislamu kuna haki ya dini mimi lazima niwe naye katika dini yangu kamanimesoma madrassa na sija soma shule masomo yangu ya madrassa lazima Serikali iangalie. Kama mimi niko naDegree ya Madrassa lazima hiyo Degree Serikali igunduwe vile inagunduwa Degree ya masomo ya shule. Na

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!