10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

128halafu tuingie kwa kina baba tena. Salo afuatwe na Mumina Halkano.Mama Salo Abdi :Ma-<strong>Commission</strong>ers akina mama na akina baba hamjambo?Com. Lethome :Hatujambo.Mama Salo Abdi :Sina mengi ya kuongea ni machache tu kuhusu akina mama.Ya kwanza, akina mama kwa kimila yetu ya Kiborana kwa kusema Mama ‘Behind every man’s success there is awoman and behind a man’s failure there is a woman’. Kwa hivyo mwenye kusema mama arudi nyuma ameongeambaya sana. Kwa hivyo mama awe mstari wa kwanza. …[ululations]…Ya pili naongea juu ya ‘girl child education’. Girl child education kwa kusema kweli sisi kwa kimila yetuWaborana, girl child education msichana akipita vizuri na mvulana akipita vizuri yule wanachukuwa kwanza nikijana. Kwa hivyo msichana achukuliwe mbele kwa sababu wanasema msichana amezaliwa kwa sababu yamwanaume. Sio lazima amezaliwa kwa sababu ya mwanamme kwa hivyo kwa Katiba mpya ipitishe ya kwambamsichana achukuliwe mbele. …[ululations]…Ya pili kile naongea ni kuhusu shule ya malazi: Shule ya malazi kwa hakika nikizungumzia wengi wao wameendacourse na waka maliza ni akina mama. Sijui ni kwa sababu akina mama ndio wame hitimu hiyo course ndiowanatukalisha nyuma kwa hivyo tunataka constitution mpya ile inawekwa hata shule ya malazi ichukuliwe kamaTeachers Service waajiri shule ya malazi pia.Halafu ya tatu kile naongea juu ni cultural: Zamani culture ya Borana ni, tukona nyimbo ya culture ya Boranatuko na vitu culture ya Borana tuko na kila kitu. Kwa sasa ukienda huko Samburu ile culture yao wanaihitimuwanaiweka katika Katiba lakini yetu ya kimila yetu ya Kiborana inarudi nyuma kwa sababu tunataka culture yetu yaKiborana iwekwe maanani. …[ululations]… Pia sisi tuhifadhi katika Katiba mpya.Ya tatu ile naongea juu ni kuhusu Chief ama Councillor: Hata akina mama wako na right ya kusimama councillorhakuna kusema yeye ni mama arudishwe nyuma. …[ululations]…Kingine naongea juu ni mama na akina Councillors, mjumbe wote wamechaguliwa na raia kama Mjumbe naCouncillor. Kwa sasa Mjumbe anapata mshahara, Councillor anapate mshahara lakini akina mama hawapatichochote. Kwa hivyo kwa katika Katiba mpya tuangaliliwe masilahi ya akina mama pia hata hao wamechaguliwana raia. …[ululations]… Kwa hivyo kwa Katiba mpya tuwekewe na tuhakikishiwe.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!