10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

8Translator : Mzee anasema yeye anapendekeza kwamba katika hii Katiba mpya lazima haki yetu ya dini yaKiislamu iangaliwe ya kutosha, na haki yote sisi tukiwa Waborana na wakaaji wa sehemu hii wenye mifugo, hakiyetu ichungwe katika hii Katiba.Mzee Wako Hache :qaamna, Loon qaamna, Ree qaamnaaNuu woonni nuu qaamn, laaff inqqotaanuu hoorrii haarkaa qaamnaa, GaalTranslator :Sisi tukiwa watu wakaaji wa hapa, si watu wenye kulima mashamba, bali sisi ni watu wanaishikwa mifugo, tuna ng’ombe na ng'amia na mbuzi.Mzee Wako Hache :Hoorrin suun tookooleen haaqqii inqqaabb, gaarr dheem inqqaabbTranslator :Mbuzi hakuna haki, ng'ombe yetu haina haki, ng’amia yetu haina haki.Mzee Wako Hache :Yoo nuu guuraan daaggenelee keenyaa kheessaa, miissingaaleen kaaraa qaabb,maajaaniin kaaraa qaabbdh, aalletiin kaaraa qaabdh hoorrin kheen fuulaa yaa inqqaabbTranslator : Anasema sisi tukiona leo kwa wale ambayo ni wakulima, haki yao inalindwa, kahawa ina haki,majani ya chai ina haki, mahindi ina haki, Serikali inasaidia upungufu ikitokea upande wa mashamba. Lakini sisimifugo yetu ikipata upungufu ya aina yoyote, hatuna msaada yoyote.Mzee Wako Hache : Issi haaqqii suun dhuubb guuyyaa khaan kaattibbaa nuu dhaaraanii hoorrinkheen suuleen haaqqii aarggaatee kaaraa aammaa miissingaan dheem, khaa maajaaniin dheemt hoorrinkheenaaleen dheemuuTranslator :Mzee anasema tunataka katika hii Katiba iongezwe ya kwamba, mifugo yetu, vile ambayemashamba, mimea ya mashamba inapata haki, katika Katiba na kutambulika, mifugo yetu pia itambulike.Mzee Wako Hache :Taa diibbiilenii naamii kheen hoojjaa duuee, haaggum saaree dhooteeTranslator :Ya pili anasema security, anazungumzia security ya maisha yetu. Serikali lazima ilinde securityya maisha ya wananchi wake. Sehemu hii sisi tukifa, ni kama mtu... ni kama mbwa ana kufa, hata si mwanadamu.Mzee Wako Hache :Suulee khaa sheeriyya khee nuu khaanii akh biinadhaamuu nuu toolcaan

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!