10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

31na nini... na umeletwa hospitali. Unakufa mbele yao. Kwa hivyo pia hapo upande wa hospitali hatuna madawa,tuko na shida kama hizi.Upande tena wa mifugo, kwa maana sisi ndio watu wa mifugo tuko na mifugo kama ng’ombe, mbuzi na ng’amia.Wakiliwa na wanyama wa pori hatulipwi, unaona. Tuko na shida kama hizo pia. Tunafaa tulipwe kama ni mifugowengine hawana uwezo wanategemea hiyo mifugo tu. Kwa hivyo wanafaa wapewe, kama ni kulipwa hivi. Wanafaakulipwa maana mategemeo yao yote ni hiyo mifugo hawana kazi nyengine, pengine ya kufanya. Kuna wenginekweli wanafanya kazi na wako na mifugo. Lakini wengi wao hawana kazi, hawana chochote. Hiyo ndio kazi yao.Mifugo tu, kutegemea mifugo. Kwa hivyo kama ni wa nyama wa pori wamekula mifugo yetu, kwa vile sisi niwafugaji, tunafaa tulipwe. Yangu ni hayo machache Asanteni.Com. Muigai :Asante Sana.Com. Lethome :...[inaudible]... mwanadamu akiuliwa na mnyama wa pori?Mama Halima Ali :binadamu si ni bora zaidi.... Pia anafaa alipwe, kwa maana kama... kama mifugo yenyewe tuna faa tulipwe,Com. Lethome :...[inaudible]... sasa tunasikia kuwa wanalipwa shillingi elfu thelathini binadamu akiuliwa namnyama wa pori... unapendekeza nini, ikae hivo hivo ama nini?Mama Halima Ali :Elfu thelathini si pesa za kulipa binadamu.Com. Lethome :Pendekeza.Mama Halima Ali :Ina faa tulipwe [?] zaidi ya hapo.Com. Lethome :waliofiliwa. Asanteni.Kama elfu... kama millioni moja hivi, ama millioni mbili, ndio zina faa kusaidia hao jamaCom. Muigai :Okay. Bwana Hussein Roba.Mr. Hussein Roba : ...[Arabic]... Basi yangu hayatakuwa mengi, lakini yatakuwa machache. Ya kwanza ilikusindikisha tu yale yameweza kuzungumuzwa na wengine. Ya kwanza, kama tunavyojua, katika nchi yetu tukufuya <strong>Kenya</strong>, tuna tawaliwa, au tunalindwa na sheria ambazo zimeundwa na binadamu. Na hii sheria ambazo

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!