10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

115Serikali hapana weza kuchukuwa watoto mia moja wa hapa kwenda kusoma ng’ambo, kwani Serikali hapana weza?Serikali inaweza. Oginga Odinga alifanya uplifting ya watoto wengi Wakenya kwenda kusoma Soviet Union naTom Joseph Mboya alifanya vivyo hivyo, uplifting ya <strong>Kenya</strong>n students kwenda kusomea America. Na tunatakaSerikali yetu ifanye juhudi ya kimakusudi hapana kihohe hahe hivi lazima wafanye juhudi ya kuinua maisha ya nchihii na watu wa hapa ili tufike kiwango moja na sehemu zingine za <strong>Kenya</strong>. Yes, nitafupisha.Local Government: Serikali za wilaya. Tunataka ma-chairmen wa Councils, tunapendekeza chairmen wa councilsna Mayors wachaguliwe directly na wananchi mambo yakuchagua chairmen na kutawaliwa na councillors alafubaada ya miaka miwili tena inabadilishwa hatutaki sisi tunapendekeza Chairmen na Mayors wachaguliwe directlyna wananchi wenyewe nawakae, kama ni muda wa miaka tano tumekubaliana, wakae kwa ofisi kwa muda wa miakatano. Kama ilivyo sasa ma-councillors hawana nguvu yoyote mambo yote inaendeshwa na mtu anaitwa Clerk.Clerk ni mtu ambaye amechaguliwa na Serikali, sivyo? Councillor ana heshima yake, amechaguliwa na raia wotena heshima yake hiyo heshima hana leo, hata wanaenda kama watoto wadogo kuomba Clerk.Tunataka power yaani mamlaka igawanywe kati ya Clerks wale tunaita Chief <strong>Of</strong>ficers na wale wamechaguliwa naraia [Councillors] kusudi ma-councillors pia wawe na heshima yao na wawe na nguvu ya kuendesha mambo yaokikamilifu. Tena ningetaka kupendekeza kama Council imeshindwa kufanya kazi ama mambo ya councilyamezorota badala ya Minister wa Local Government ku-dissolve hiyo Council au kuivunjilia mbali amaPresident kuivunjilia mbali nataka hiyo sheria ibadilishwe na tuweke sheria mpya ambayo kama Councilimeshindwa kuendesha kazi yao kibarabara, a tribunal of eminent persons iwe set up waangalie hiyo mambo yaCouncil na mfanye recommendations kwa Minister labda Minister akiweza kuvunjilia Council mbali amaPresident ikitegemea findings ya eminent persons tribunal ambayo imechaguliwa.Ya saba nataka kusema kuhusu idara ya sheria Judiciary: Sheria ambayo iko imekanya watu wengi kutaabika.Wengi wamezungumza mbele yenu wanasema watu wanashikwa hapa wanapelekwa Isiolo wanasema ati kuitika nisiku tatu halafu unarudi, gharama ni hiyo shida ni hiyo. Tunataka sheria ibadilishwe mambo madogo madogoambayo inaweza kutatuliwa hapa na fine yake inajulikana ifanywe papo hapo. Kwa mfano kama unaendesha garibila road license ama bila insurance na fine yake ukienda huko Isiolo inajulikana sababu gani unaenda huko. SiPolice waku-charge tu hapa ulipe pesa uende zako, sivyo? Ama sivyo? Kuna sheria kama hiyo, kama Europe hivi.Kama unaenda njia kombo hivi hakuna haja kutaabishwa Kotini, unaambiwa wewe umefanya makoso weka signhapa fine shilingi elfu-moja lipa ondoka zako. Mambo ambayo inaweza kutatuliwa na kumalizwa hapa tafadhalitunapendekeza isiende sheria mambo madogo madogo, si zote, mambo madogo madogo ambayo Policewanaweza ku-charge wewe kulipa fine hapa isiende huko. Na tena a tunataka kupendekeza sisi kama Waborana nakabila mingi za Waafrika wako na desturi yao ya kutatua matatizo yao. Na tunataka sheria mpya iweke hiyo

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!