10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

94wetu ambayo wamefika hiyo kiwango. Yeye anapendekeza yakwamba wakati mtu anataka kufanyua Commissionerof Police, tabia yake iangaliwe na juhudi na bidii yake ya kazi. Kama mfano anasema si hata Chief of GeneralStaff alikuwa mtu hana elimu si hata sisi Commissioner of Police hata sisi tunaweza kupewa nafasi kama hiyo tu.Mr. Abdirashid Ali Tacho : Fuulaan taan diibin fuulaa usaalaamat, isiolo district kwanza ...[inaudible]...maalee maaqqa yaakhaan, akh waan booranii caalaan qaawee qaabbuu, guudho nuu yaakuu jiiran. Booraniiqaaweeyyu inqaabbu, aardhaa laam aammalee isioloo kheesaa maaqqa yaakhaan, Kula-mawef Biliqoo. Maanmeerooleen qaawee inqqaabdh, Turkanti inqqaabdh, koorreen inqqaabdh,gaarrin inqqaabdh, saafaart cuufinqqaabdh, wooni kuulaa maawee caalaa maaqqaa yaakhanuf injiirt, wonnii biliqoo maaqqaa yaakhaanif injiirt.Guyya deengaadhaa khaa dhaabree, naam laam khaa khaaraat eejeessanii boouujirr kuulamawee maaqqaa yaakhuujiirran. Nyaap aall yaauu naam fiitt eenuut beekh, khaa taanii booran luubbu dhuudhaanif, wonni siirkaalii booranluubbu dhuudheef imbbekh. Nyaap aall yaaee naam fiittee rabbi caalaa beekh hoojaa duugga rabbi dhuubban,wooni booran luubbu seenaanif injiirtTranslator : Ndugu yetu anapendekeza katika mapendekezo yake anasema sisi uhalifu ikitendeka katikasehemu fulani na ambayo inajulikana ni nani ametenda uhalifu sisi tunakuja tunachafuliwa jina. Hii mambo yakuchafuliwa jina iwachwe mpaka hakika kweli ijulikane kwahakika nani ametenda huo uhalifu isiwe mara mojainaamuliwa ni watu fulani wametenda hiyo uhalifu. Kama ni bunduki sio Waborana peke yake wana bunduki.Karibu kila kabila inabunduki leo. Kwa hiyo hakuna haja yetu peke yake sisi tunalawama yote sisi tuna bandikwa,uchunguzi kamili ufanyike ndio wale wame husika na kazi isemekane dhambi yake tusisingiziwe tu.Mr. Abdirashid Ali Tacho : Yangu nimemaliza. Lakini kuna ndugu yetu moja amebaki Kulamawe?Amesema nitowe maoni yake, tafadhali. Molu Halakhee jeedaan. anaitwa Molu Walake. Anasema Kenya hakunahaki. Kenya hakuna haki. Kenya haki ya Kenya imemalizwa na matajiri na mahakama. Kenya leo hii mtu ambayeanafaa kufungwa anaokolewa na pesa. Na mtu ambaye hafai kufungwa tajiri anaamua kutoa pesa mpaka anafungwa.So kwa hivyo anasema Kenya hakuna haki. Kwa hivyo ile idara ambayo inahusika, Judiciary iangalie vizuri hakiya wananchi. Wananchi wanasema wanadhulumiwa kwa hivyo haki ya wananchi iangaliwe. Asante sana. WasalahMualeykum Taalaa WabarakatuCom. Muigai : Asante sana, sasa imetimia saa saba ya mchana tungelipenda kwenda tusali sasa alafu turudisaa nane kamili. Ndio hivyo wananchi tume kubaliana. Asanteni. Na tukianza saa nane tutaanza na mheshimiwandio turudi kwa list.[?] : Qaabben khaankee mamuulacuun jiiruu taantee qaajelfacuu ,Aadhaa laaftetii baaracuun miirr khaankee barracuu, x2

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!