10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

87Kwanini sisi tusi pate hio fursa, kwa sababu Wasomali waliambiwa ng’ombe zao zimepata rinderpestwakasimamishiwa soko. Mbona Serikali haijatusaidia tuka pata hio nafasi at least angalau tupeleke ng’ombe yaonje tuwe tunapata market mzuri na inaweza earn resources. Hata inaweza earn revenue kutoka hio pesatumeingiza. Now we want the Government to look for marketing boards for us outside, that is the livestock, andthen the establishment of Kenya Meat Commission in our region and if possible something like Kcc should alsobe established. Unanifahamu.And then the Local Authority, iko kitu inaitwa Local Authority: “Waan tookoot khaa local authority jeedan jiirrkhaayyu aaggartee diib keenayyu cuuf irr taa, diibbi kheen guudhayan fuulaa innii taauu fuulaa council taan taa,council yaa laaf teen nyaatee hoobbaft, hoojja council haaggam aarm khee jiirtelee aann baarracuu innfeed annmaaooni tiyy dhuubacuu jiirra, council waan cuuf quubb nuu khaa, yoo issin seeni laaf teena kheete laaf teenhiinguurgguran naam tookoolee ingaafataan, mzee ya laaf taan guurggurani jeedani sii inggaafatan” kwa hivyo “nuuamm laaf taanaa council lee laauumuu jirr” in the next constitution constitution “gaadh dheemt kheessat taa laafteenayyu taayyu council muurtii issi haarkaa qaabbdhuuyu infeenu nuu. Laafti teen khaa haark keen jeel jiirratu.Haark jaarrrolee teena jeel jiirratu. That is now the Local Authority should not have control of our land insteadclan elders should control and manage all the properties in the land, whether elected or, say elected.There is one road, iko njia inaitwa Trans African Highway ambayo inatoka South Africa inaelekea Lagos. Hiyonjia inakuja moja kwa moja mpaka Isiolo ukifika pale kutoka Isiolo mpaka, inatoka South Africa lami kutoka palempaka Isiolo. Ikifika Isiolo unaanza kuingia mchanga sasa. Kutoka hapa mpaka Moyale ni mchanga, there is noroad. Simply there is no road. Now hiyo njia tumekosa kwa sababu sisi tuko, tunaitwa Northern Frontier DistrictNfd ile and in fact the Government is against us, is surely against us and we curse them “Aabbaarra siirkal khaanwaan qaarra, woollaah” we curse this Government because it has made us cripples, financial status we are in nowis brought up by this Government. We want improvement of this infrastructure. Hii njia yetu yote ya kutokaMaua mpaka Garbatula ipigwe lami, ya kutoka Isiolo mpaka Garbatula ipigwe lami ya kwenda Moyale ipigwelami.In the next constitution that is my solution. We want all our roads to be tarmacked like the rest. Kwa sababu sisitumeshindwa kujijua sisi tuko wapi. We don’t know whether we belong to Kenya. We don’t know whether weare Boranas. If the Government maybe see that we are not Kenyan citizens it is supposed to say Oh! Nyinyi siocitizens wetu wa Kenya, watuambiwe sisi ndio tujiite ardhi yetu, tutajua vile tutajiita. Otherwise yangu itakuwa nimachache watu wengi wameongea mbele yangu kuhusu ardhi. Lakini kabla ni kasirike zaidi. Anyway hakunakufurahi. If I talk about land there is nothing like happiness that always ring in my mind. I am always bitter ofthis land of the grabbed land, now you should take action accordingly please. Thank you.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!