10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

37kwa sababu, nikiondoka sitapata kura. Kwa hivyo, wananchi wapate uhuru wa kutosha katika ardhi yao, wafanyevile wanataka, bali tu wasivunje sheria.Kwa hivyo sisi tunataka, hasa katika sehemu ya Waislamu. Tupatiwe shi... tupatiwe tujihukumu katika dini yaKiislamu. Leo kuna Kadhi katika <strong>Kenya</strong>, wengi sana, lakini hukumu yao ni urithi na talaka peke yake. Hawafanyikazi ingine. Watu wana weza kufa hapa, mtu ane... anaweza kuiba, na pia isitoshe, kama huja ridhika, na ardhikatika District yako. Lazima uende kwa kufanya Appeal kwa Judge ambaye sio Muislamu. Atakwenda kuhukumunini sasa? Ana hukumu vile anataka. Na vile anataka, kama leo hii, katika <strong>Kenya</strong>, vile anataka ni vile pesa ukonaye. Kiasi ya pesa ile uko naye ndio atahukumu. Kama sisi tutaenda wapi. Mali hatuna, hatuna uwezo, watuwengi, kama vile Mzee alikuwa mbeleni yangu hapa anasema, hawana Id card, hawa... hawezi kufika Isiolo, kwasababu ya transport. Serikali hapana iko hapa. Ata fanya namna gani? Kwa hayo machache na shukuru sana, naningependa mapendekezo yangu hiyo ichukuliwe vizuri. Asanteni sana.Com. Muigai :Asante Mzee. Bonaya Racha. Bonaya Racha. Dakika tatu Mzee. Tafadhali.Mzee Bonaya Racha :Boonayaa Raacaa, gaafaarssa duufeeSaallammaalleykum, annii nii dhuubbin tiyyaa dhiiqoyyo, maaqaan kiyyaTranslator :Mzee anasema anaitwa Bonaya Racha, anatoka sehemu za Gafarsa.Mzee Bonaya Racha :Aannin beendekeezoon tiiyya, akh maalee diiqaayooTranslator :Mapendekezo yake ni machache.Mzee Bonaya Racha :Nuu gaaf duurri kaanii, gaafaa koolooni, naamii cuuftii fuulaa uuffi qaabb.Translator :Zamani anasema kila moja alikuwa ana sehemu yake wakati wa ukoloni.Mzee Bonaya Racha :qaabbBooranii guuyyaa suun, akh maalee maaniikan, naam aakhammalee uhuuruuTranslator :Wakati huyo tulikuwa na uhuru ya kutosha katika hiyo nchi yetu, na mipaka yetu.Mzee Bonaya Racha :laaf uuffi qaabbAammalee nuu guuyya suunii akhii nuu uhuuruu qaamnuu, naamii cuuftinuyyu

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!