10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

134Com. Lethome :Tupa tupa tu!Mr. Osman Dima : Maoni yangu ni mawili, matatu tu sababu hata nafasi ni kidogo. Maoni ya kwanza jina yaDistrict hii wanasema Isiolo District irudishwe kuwa Borana District. Badala unasema Isiolo District usemeBorana District.Com. Lethome :Haya ingine.Mr. Osman Dima : Maoni ya pili sheria ya Borana vile wanafanya court ndio wanafanya nyumbani. Nawanasaidia watu sana. Kwa hivyo sheria leo iingize hiyo sheria ya Borana iwe halali sababu zamani inaonekanakama wamebakisha nyuma.Ya tatu naongea kidogo juu ya mifugo. Sisi hatuna shamba kitu tukonaye kwa ardhi hii ni mifugo. Mifugo wakatisisi tunauza moja mbili lazima tunalipa pesa. Tukitembea barabara kama sisi napeleka na gari tukilete soko kunapesa tunalipa. Lakini wakati Jilali wanamaliza hii maliza hii mali hakuna pesa yoyote wanaletea sisi. Tunatakasheria ya leo ingizwe malizwa na Jilali ama na ugonjwa Serikali ilipe.Com. Lethome :Jilali ni nini?Mr. Osman Dima : Jilali ni Ukame. Kiswahili kidogo kidogo tutajifunza. Ya nne maoni yangu nitasema juuya wanyama wa pori. Wanyama wa pori ni wetu si wa Serikali. Sijui saa zingine tunashangaa sana kusemawanyama wa pori ni wa Serikali. Mnyama wa pori Serikali wamenunua kutoka wapi? Ilikuta hapa. Na sisi piatume kuta mnyama wa pori hapa. Tunataka Serikali iwachie sisi hawa wanyama sababu wametudhulumu.Wanyama wa pori ni wetu. Sisi ndio tutafuga. Sisi ndio tutauza. Tunataka iingizwe kwa sheria wanyama wa poriwawe wote wa wananchi. Kwanza Serikali imetudhulumu mnyama wa pori amewekwa kwa kijiji na amefanywaadui wetu. Mnyama wa pori wa kawaida ako humu humu hata hakuli ng’ombe wanakula moja moja. Hata ndovu yahumu humu hakuna wakati wanaumiza mtu. Lakini hayo mnyama ana umiza mtu huyo wananchi wanalalamika niile imewekwa kwa kijiji wanafanya adui yetu. Vile tumefanya huyo mnyama hata tukifanya mnyama huyu wetu wakawaida wa boma. Ikitengwa na sisi watakuwa tu namna hiyo adui. Kwa hivyo mimi maoni yangu nataka mnyamawa pori Serikali irudishie sisi sababu wanadanganya sisi na wanadhulumu sisi.Com. Lethome :AsanteMr. Osman Didi :Yangu ni hayo machache.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!