10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

147tunabaguliwa saa ingine kidini, kigeographia labda watu wa sehemu hii zamani tulikuwa Nfd ama nini amakihistoria fulani tusibaguliwe tupate haki.Pili Katiba, sisi ni Waislamu na dini yetu inasheria yake sheria ya Kiislamu ambayo inatokana na kitabu chamwenyezi Mungu tukufu kwa hivyo Katiba mpya itambue sheria Islamu ni sheria inatokana na mwenyezi Munguwala si customary law ndogo ndogo ambazo zinaweza kugeuza huko na huko. Kwa hivyo mimi napendekeza yakwamba Waislamu wa hukumiwe na sheria ya Kiislamu vile ambaye mwenyezi Mungu …[Arabic dialect]… anataka.Ya tatu Katiba mpya wakati itakapotengenezwa kifungo chochote katika hiki Katiba, kifungo yoyote katika Katibampya itakayotengenezwa isije ikahitilafiana na mafundisho ya dini ya Kiislamu kwa sababu italete shida namatatizo na ukosefu wa amani.Kina mama na watoto wanapewa haki kamili katika Kiislamu. Haki ya urithi wanayo, haki ya heshima wamepewa,haki ya kuwa na mali wamepewa, haki ya binafsi yake amepewa, haki ya kijamii amepewa, kwa hivyo Uislamuinatetea haki ya kina mama mwaka elfu-moja-na-mia-nne iliopita na bado inaendelea kutetea naitatetea.Tunachotaka ni …[Arabic dialect]… iundwe pamoja na …[Arabic dialect]… ya Islamu ambaye italipwa na Serikalikutoka Treasury of the Government. Hii ndio itatetea jamii ya Kiislamu na Kadhi wetu kuanzia Chief Kadhiwapewe power ili waweze kulinda haki ya akina mama na watoto kulingana ma mafundisho ya Koran …[Arabicdialect]… hakuna sheria ingine itawalinda.Ya tano nasema, tuwe na presentation ya usawa katika Serikali ama katika Katiba ihakikishe ya kwamba tuwe nausawa kama ni katika mawaziri, kama ni katika key positions sisi Waislamu ambao tuko one third ya <strong>Kenya</strong>ionekane ya kwamba katika cheo kubwa kubwa katika Serikali na pahali ambaye key positions Waislamuwaonekane ile population yetu itambulike kulingana na vile tunawakilishwa katika sehemu muhimu muhimu. Sileo hatuonekani tunakaa kama hapa sijui kama kitu imetupwa katika I don’t know where.Ya nne mimi nasema sisi sehemu hii ya Waislamu pamoja na pastrolists tumekuwa marginalized pamoja disabledwatu walemavu yote tunataka affirmative action. Na hii mimi nataka Katiba hii ninapendekeza ya kwamba Katibaipeane conducive supportive, peaceful environment ili sisi tuweze kuendelea na kuwashika wale ambaowametutangulia to catch up with the rest. Bila hiyo kama hatuna amani kama hatuna mazingara ambaye inawezakukufanya wewe uendelee utaendelea vipi hata tukiimba hapa usiku na mchana Katiba ipeane hiyo.Napendekeza ya kwamba election date ambaye leo imefuwa secret weapon ya Rais iondoke kabisa. Election datetarehe ya kura iweke katika <strong>Constitution</strong> tuambiwe ni tarehe fulani kura yetu tujue.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!