10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

3Tumechelewa kidogo. Wale ambayo wamejiandikisha, tafadhalini ketini chini, tuanze.Na, tungependa Sheikh Hussein aje atufungulie kwa dua halafu tuanze moja kwa moja. Sheikh Hussein.Com. Lethome :Sheikh Hussein karibu hapa.Sheikh Hussein :Naja, naja.Sheikh Hussein :...[Arabic]...Com. Lethome :Karibia... karibia...Sheikh Hussein :...[Arabic]...Com. Lethome : Sasa nafikiri tutaanza kikao chetu, na ningependa kujua tu. Tuko na Chief hapa? Chief wa eneohii yuko hapa? Hayuko. Kuna Councillor yoyote? ...[inaudible]... Bado atafika baadaye. Na huyu ni Councillor?...[inaudible]... Councillor karibu. Sasa tunataka tu dakika moja tukupatie utukaribishe halafu tuendelee nashughuli yetu. Najua huwezi kuingia nyumba ya mtu bila ku karibishwa. Useme jina yako na ni Councillor yawapi halafu utukaribishe tuendelee na shughuli. Dakika mbili tu tafadhali.Sheikh Dabaso Ali Dogo :Mimi naitwa Sheikh Dabaso Ali Dogo.Com. Lethome :Solomon... Ngoja ngojaSheikh Dabaso Ali Dogo : Kwa majina naitwa Sheikh Dabaso Ali Dogo. Na ni Councillor wa Markadakahapa Division ya Garbatula. Bwana <strong>Commission</strong>er na Wazee wengine, na wenzake ambayo wako hapa.Munakaribishwa hapa Garbatula, hapa ni nyumbani, mchukuwe kama ni nyumbani hapa kabisa. Na nyinyi wenginenawaomba tafadhali muongee bila kuogopa. Hapa ni siku ya pekee ambayo mnapata nafasi ya kuongea. Nafasi yakuunda sheria yenu. Na pia kila mahali mimi nasikia kuna ma-<strong>Commission</strong>er wawili wanakuja. Lakini hatujuikuna shida gani hapa, tuko na mmoja peke yake. Kwa hivyo nafikiri hapo Bwana Haji naweza ku... pengine atatueleza. Kwa hivyo nyinyi msiogope kutoa maoni, ile kitu mnataka kuongea muongee. Nafikiri hapa watuwanaogopa sana mambo ya Serikali. Mtu kama hapana jua lugha kuna mwingine ambaye atatafsiri. Kwa hivyomuwe mkiwa mnaongea wazi. Ma-<strong>Commission</strong>ers na wenzao, mnakaribishwa. Asanteni sana.Com. Lethome:Asante sana Bwana Councillor kwa kutukaribisha. Asante... asante... Sasa ningependa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!