10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

125Bunge: Sisi tuko na wabunge Waislamu na sisi kabila yangu ni Borana tumejenga hii Serikali hii ya Kanu miakamingi sana Serikali inadhulumu watu wetu mtu akona degree anapatiwa Assistant Minister na mtu ambaye amesoma standard seven ama standard eight ama form four inapatiwa full Minister. Hiyo pia ni dhulma kwa hivyo hioSerikali inafanya dhulma.Ile ingine sasa kama Mkuu wa Jeshi wa zamani Mahammud Mohammed alipo retire Serikali inamrudishainampatia tena kazi ingine. Kama Pc wa Rift Valley Yusuf Haj alipoenda retire Serikali ikampatia ubungemaalumu na wakapatia assistant minister na hiyo nafasi watu wengi sana wanaingoja. Hiyo pia ni dhulma kwaSerikali, Serikali inafanya dhulma moja kubwa sana. Mtu ame-retire, amefanya kazi ya Serikali miakahamsini-na-tano inarudi tena inaregesha kwa kazi zingine pia hiyo ni dhulma hiyo Katiba ambayo kurekebishahiyo Katiba ni mtu ambaye anafanya kazi ya Serikali anaenda retire asichaguliwe kwa nominated yoyote.Pia mtu alianguka…Com. Lethome :Maliza maliza Sheikh…Sheikh Salad : Mtu alianguka bunge alisimama bunge ama Councillor raia aliangusha na ana patiwanominated Councillor pia hiyo pia ni dhulma ina force raia hiyo pia ni dhulma mtu ambaye amesimama na kura naakikosa asichaguliwe. Kwa hivyo sasa maneno yetu ni mingi sana.Ingine ni mambo ya 63 ambayo watu wanaongea mambo ya 63. Jeshi hiyo maneno tafadhali sana kwa sababumimi ni mmoja wao wale ambayo baba zao waliuwawa na jeshi. Sababu siku hiyo Mzee Galgalo Busu ni Chief,yeye ndiye alilea sisi. Wakati baba yetu aliuwawa na jeshi hapa in 63 watu wengi waliuwawa pamoja na mali kwahiyo hii haki yetu ambayo Jeshi ilifanya hivyo Serikali ifufulie hiyo maneno itokeze haki yetu ilipwe Serikalialipe sisi kwa sababu hata Moi ako na habari hiyo. Yeye mwenyewe ako na habari.Sina mengine. Ninakomea hapa kwa hivyo sasa mimi maoni yangu kubwa sana ni mambo tena ya ma-chiefachaguliwe na raia. Chief achaguliwe na raia.Bunge miaka tano hii ni mingi kwangu kwa sababu wanatusumbua miaka tano haiwezi kwisha haraka, miaka mbilina mwezi tano ifanyie sisi na Serikali isipitishe sisi. Miaka mbili na mwezi tano. Kwa sababu iko watu wengineambao sisi tunataka kuteremsha sasa sisi tumechagua tayari nahawashuki na miaka tano ni mingi. MwaambieSerikali raia wametupendekeza watufanyie sisi miaka mbili na mwezi sita.Na pia sheria ambayo bunge akichaguliwa hawezi angusha tena Serikali itupitishe sisi Katiba tukifanya complain

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!