10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

167kutukumbusha hiyo tutashtakiwa. Daudi Golicha. Huyu ndio mtu wa mwisho. Daudi Golicha.Mr. Golicha Daudi : Asante sana Bwana Ibrahim kwa jina mimi naitwa Golicha Daudi kutoka Garfasa mimisitaki kuyarudia yale yamesemwa kwa machache tu nitagusia mambo ya kwanza ni mambo ya livestock ambaye ilemambo resource ambaye sisi tuko naye Northern Kenya Livestock tumesikia ya kwamba Kmc tumepotezahaifanyi kazi. Kama Serikali hawezi ku-revive Kmc mimi napendekeza katika Katiba hii ya kwamba Kmc ipatiwepastrolist communities ili waweze ku-revive it. Wanaweza kutafuta development partners ili waweze ku-reviveKmc ili ng’ombe wetu au mifugo wetu iweze kuwa na dhamana iweze kutusaidia.Mambo ya Constitution ambaye itaundwa kwa hakika hata sisi wale tumesoma hatuna ufahamu mambo yaConstitution ya zamani ukiya jua ukiyafahamu ya zamani ndio unaweza kusema mambo ingine lakini kile miminapendekeza hii Constitution mpya ikiwa in place kwa wananchi kama ni haki yao wajue iwekwe katika Kenyanschool syllabus ili watu wasome mambo ya Constitution they familiarize themselves with it kutoka primaryschool mpaka University level watu wajue haki yao.Mambo ya resource ingine tunasikia ya kwamba Serikali yetu haina pesa. Kwa sasa katika hata hii Constitutionikiona wale wanashughilikia mambo ya wananchi masilahi ni organization Ngo’s na Cbo’s. Ningependekeza yakwamba katika budget ya Serikali, Serikali itenge pesa ambazo zitakazopewa Cbo’s na Ngo’s kwa maana hawa ndiowako karibu na wananchi for transparency and accountability ili Ngo’s na Cbo’s waweze kusaidia wananchi kwamaana wako katika station yote.Mambo ya child labour naona ya kwamba watoto wanatumiwa vibaya. Watoto wakiwa katika umri changawanapatiwa kazi hawa hudhuri school. Wamenyimwa hiyo nafasi ya kupata elimu. Nikiongezea hapo karibu 50%ya pastrolists children wako nje hawapati elimu na ningependekeza ya kwamba elimu kama ni basic right kuwe namobile school ya pastrolists mahali pastrolists wanahama kuwe na school wa-attend ili watoto wetu wawezekupata elimu.Mambo ingine ni haki ya minority na indigenous group. Nashukuru mambo ya Wata imekuja ni kwa hakika yakwamba Wata ni minority ethnic group. Hawa katika translation ya Borana wildlife yote ni ya Wata. Na miminapendekeza Wata kwa sasa hawa miliki hiyo wildlife. Napendekeza ya kwamba Serikali yetu iwapatie hawa Watacompensation ya kunyang’anywa hiyo wildlife na watoto wao wapatiwe elimu ya bure.Mambo ya mwisho kuna mambo ya Identity Card na passport wengi wamesema ya kwamba hiyo ni right lazimatuwe nayo. Mambo ya identity card iwe katika tarafa. Ofisi iwe katika tarafa ili tusizunguke tukitafuta Id card.Na passport iwe at the District level. Haswa kwa wakati huu kuna watu wetu ambaye wameenda upande wa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!