10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

144Mr. Ahmed Noor Wako :Asalaam Aleykum!Com. Lethome :Badayake Hussein Abdalla.Mr. Ahmed Noor Wako : Jina langu naitwa Ahmed Noor Wako. Umeandika huko. Sawasawa. Basi nafikirimimi nitasema machache tu kwa sababu wengi wameongea. Mimi hapa kwanza mapendekezo tu ndio miminitasema hakuna haja mimi naongea mambo mengine.Com. Lethome :Ndio sawaMr. Ahmed Noor Wako : Mimi nataka bank ya Kiislamu kwa sababu Serikali ya <strong>Kenya</strong> haitaki hataWaislamu. Lakini tunataka bank bila ribaa ambayo hata ikuje mpaka hapa kwetu ikiwezekana. Mimi najuwa vilewewe utaandika wewe ndio expert Bwana Sheikh.Com. Lethome :Naam.Mr. Ahmed Noor Wako : Ya pili, primary tunataka badala ya 8-4-4 irudishwe kama zamani kwa sababu hii nikusumbua watoto na haiwezi kusaidia nataka ya kama zamani tu standard seven halafu form five form six halafuaendele mpaka University.Ile ingine mimi nataka ingilia ni hapo kwa Parliament mimi nitasema kwa sababu mambo mingi watu wamesemasina haja ilikuwa mrefu. Parliament nafikiri mjumbe sisi raia ndio tunachagua. Lakini ukisikia upande hii yaParliament baada kukaa kikao yao mara nane mbunge bado kufika kwa kikao huyo Speaker anaweza kusimamisha.Najua bunge lakini mkubwa wao ni sisi, sisi raia ndio anachagua. Sio Speaker alikuwa anachagua, Speaker alionatu mjamaa ameletwa na raia huko. Lakini mbunge inawezekana bila kufika miezi tano bila kukanyaga hata hiiGarbatula kama ni ya Garba sehemu zingine yote.Nikiongea tu kwa mfano hapa lakini hata sehemu zingine yote ni namna hiyo tu. Halafu mbunge bila kufika miezitano hapa, count nane ndio nafukuzwa, kabla kufika miaka tano ikiwa mbunge anafanya makosa kama hiyo kutofikahata kwa citizens yake tunataka asimamishwe na Katiba kama hiyo iandikwe nyinyi ma-<strong>Commission</strong>ers mnajuavile mnaandika. Kabla kufika wakati huo. Hata ma-councillors pia namna hiyo.Provincial administration tunataka ipigwe marufuku kwa sababu haiwezi kutusaidia hii ni kitu inangamiza sisi.Tusema kama tunachukua mfano hapa sisi tuko na Do ambaye yuko na ma-chief. Sasa mtu akikosana na chiefhapa anaenda kwa Do. Chief huyu vile ameandikwa na Do yeye ni sasa mambo yake hapa hawezi ogopa raia na

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!