10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

54Translator :Ni hiyo tuCom. Muigai :Next to Hussien Abdi amezungumza. Adan Ali Wako? Adan Ali Wako? Adan Ali Wako?Lakini wewe unasaidia sana. Speedy speedy. Kwa hivyo kaa hapo.Mr. Adan Ali Wako :Adan Ali Wako kutoka Kinna.…[Vernacular]… Asalaam Aleykum! Mapendekeza yako. Okay kwa jina mimi naitwaMapendekezo yangu sasa ni kuhusu sheria sasa. Malipo ya watu waliouwawa na Serikali yao na dhulma wakati yakijini from 1963 to 1967 hiyo ni moja.Ya pili mpaka ya Isiolo District iwe ya wakati ya ukoloni ya zakale irudishwe pahali pake.Ya tatu madini na rasilmali huko chini ya ardhi iwe wa wakaaji ya eneo hilo. Kwa mfano kama Duse hapo.Ya nne County Council ipewe nguvu zaidi kuliko hii ya sasa.Uchaguzi ya ubunge na madiwani iwe siku tafauti.Kuhusu mambo ya Waislamu. Chief Kadhi wetu wa <strong>Kenya</strong> iwe ikichaguliwa ma Waislamu sio Presidentialappointee. Kwa sababu President sio Muislamu hajui sheria ya Waislamu. Ni mzuri sisi wenyewe tukaeWaislamu maulamaa wachague.Waislamu tena tupatiwe wafanyi kazi wetu Waislamu ambaye wanaganya kazi na Serikali nafasi ya siku ya Ijumaakwa sababu ya maombi yetu. Kwa sababu wakristo wako na siku mbili hapo hiyo siku sio siku yetu. Siku yaJumamosi na Jumapili sio yetu Waislamu. Kwa hivyo napendekeza mimi siku ya Ijumaa ifanyue siku ya maombiya Waislamu.Kuhusu mambo ya National Park vile wazee wengine wameongea hapo. Kuna sehemu zingine ambaye tuko nayehapo ambaye tumenyanganywa na Serikali inaitwa Meru National Park. Hiyo sehemu ni sehemu ambayeimekatwa kutoka kwa sehemu ya Isiolo District na Wameru na upande ingine na watharaka. Hiyo sehemu Serikalihatukupata kutoka kwa Serikali ridhaa. Compensation ndio tunataka. Tupatiwe compenasation yetu. Kuna hii.Yaani ardhi sehemu zetu ambaye zimechukuliwa na Serikali hatujapata malipo ridhaa hatujapata.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!