10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

57zamani walisema the President is above the law. Sitaki kusikia hiyo. Mimi napendekeza serikali, the Presidentshould not become above the law. The person who is above the law is the one who creates people, so thePresident must be under the law.Zaidi ya hayo mimi nataka kusema wabunge wachaguliwe kutoka wale ambaye wamesoma form four. Lakini siowale ambaye hawakusoma. Councillor naye wakuwe wenyewe hivyo. Wale wanesoma form four.Zaidi ya hayo mimi nataka kusema County Council ipatiwe nguvu. Mayor ya County Council apatiwe nguvu amayule amekaa co-ordinator ya County Council apatiwe nguvu zaidi kuliko ile wako naye leo. Wanaamurishwa nawatu kutoka mbali wawe na nguvu katika hiyo County Council.Mwisho kabisa mimi nataka kusema serikali leo Rais ya <strong>Kenya</strong> akisema emergency fulani ya watu ifanyiwe leoserikali itachukuwa hiyo hatua haraka iwezekanavyo. Rais akichukuwa mkononi sheria ya kusema watu kabilafulani fulani, wa malizwe nasema serkali wata maliza. Hiyo ni sheria imewekwa. Hiyo sheria itolewe kabisa.Mwisho kabisa nataka kusema ya wale wanavaa wanawake Waislamu, wasichana Waislamu wakubaliwe kuvaa hilawanayoitaka kama ni nguo kuvaa mavazi mazuri wavae ofisini katika kila pahali hiyo nguo yaani sio kimila that oneis not a culture but that one is a law let people know that that one is a law in the new constitution.Kwa hayo nasema Asalaam Aleykum! …[Abrabic dialect]…Com. Muigai :Asante sana, Asante sana. Huka ali Hassan? Hassan Ado? Boru Ali? Namna hiyo mujeharaka haraka. Tuanze na Huka Ali? Dakika mbili mbili mbili. Huka Ali?Mr. Huka Ali :Asalaam Aleykum! Kwa hivyo…Com. Muigai :Haraka haraka tafadhaliMr. Huka Ali :Kwanza maoni haya. Jina Huka Ali. Huka Ali. Mapendekezo haya…Com. Muigai :Na bwana Ali kwa vile umeandika maandishi yako vizuri ufanya summary tafadahliMr. Huka Ali : Mapendekezo haya ni mengi na mi mapendekezo ya jamii mzima kwa hivyo tume gusiasehemu nyingi na sehemu hizi zote ni muhimu na inagusia labda maisha yetu ya kila siku. Kwa hivyo mtaniombaradhi ingawa itakuwa kwa ufupi kugusia kidogo kidogo.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!