10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

124Ya tatu mamlaka ya rais ipunguzwe vile wazee wamesema wametangulia mbele yangu. Mzee ni mkuu wa Jeshi nani mbunge, ni rais, hiyo cheo yake ipunguzwe na tunaomba uchaguzi ya Katiba hiyo ipitie sisi kwa hivyo naombaiandikwe kwa maoni ya Waislamu. Rais awe na prime minister akichaguliwa sisi tunataka prime minister aweMuislamu kama tunakosa rais. Na hiyo Katiba ya Kenya ambayo sisi tunafanya kazi juu yake hiyo Katiba zamaniBorana ndio walichagua, Borana ndio waliweka hiyo Katiba. Wakati Borana hajui kitu Borana ndio aliweka hiyoKatiba kwa Serikali wazungu waliita wazee wa Borana ambaye hawajui kusoma wakakaa pamoja wakaandika hiyoKatiba wazee walipokataa hiyo maneno wakasema mjemweke sahihi hii maneno nyingi mlikataa hiyo. Sema sisitumekataa waka sahihi kama mmekataa kumbe hii ni maneno ambayo walipitisha.Mambo mengine ni mambo ya passport: Mambo ya Commissioner katika Commission ishirini-na-mawili hawawazee ambao wanafanya kazi ya Serikali hiyo Waislamu ni wawili peke yake. Tunataka wakiwa wanaweka kabilazingine wale ambayo si Waislamu sita wawekwe Waislamu pia sita.Com. Lethome :Commission gani hiyo?Sheikh Salad :Wale ambao wanabadilisha Katiba.Com. Lethome :Hii yetu?Sheikh Salad :Hii order ya kuchagua kura.Com. Lethome :Hile ni tofauti na sisi, hii ni ya Katiba ile ni ya kura.Sheikh Salad : Ndio inaitwa Commission, ibadilishwe ikuwe Waislamu wawe na wale wengine. Waleambayo wanafanya kazi ya Serikali, ma-chief, maaskari ambao wanaandikisha kazi ya Serikali kwetu madevu ni “Mtuumee ssalla llahu Alleykum Wasallah” na Serikali ya Kenya hawataki mtu anafanya na madevu kazini, wanasemanyoa hii madevu yako. Hii sheria ipitishwe sisi, mimi natoa maoni yangu ipitishwe hii sheria ikubaliwe mtuyoyote ambaye ni Muislamu afanye kazi na hiyo madevu.Na zingine sana muhimu ni mambo ya kuteua wanawake kwa maana wanasema wanaume na wanawake ni sawa.Sisi dini yetu haikubaliwi kulingana na aya ya Koran mwenyezi Mungu haja linganisha wanawake na wanaume.Kwa hivyo mimi nasema wanawake Serikali inasema wanawake na wanaume ni sawa hio maneno muandikempelekeni mbele ya Serikali uwaambie Waislamu wamekataa, kulingana na maoni yao sio sawa.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!