10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

153Mr. Galgalo Titima : County Council should give assistance to give children education and health and ruralaccess road grading. County Council should give Civic Education to people especially District boundary,Divisional Boundary and Locational Boundary. Title Deeds should be given by County Council. Game Reservesshould be managed by Locational Land Boards Trustees. For this I say thank you.Com. Lethome : Thank you very much, thank you very much Mr. Galgalo. Bonaya Sama? Bonaya yukohapa? Hayuko Bonaya. Yuko wapi? Haya Bonaya Sama akimaliza Haji Abdi Jilo? Jako Abdi Jilo yuko?Afuwatewe na Dida Wako? Wafuatane hivyo. Dakika mbili mbili haraka haraka magharib inakaribia. Anza na jinayako.Mr. Bonaya Sama :Ann dhuub dhuubbi inqqaabbu woom dhiiqoo took dhuubbad jeedin. Bonaya SaamaTranslator :Jina anasema anaitwa Bonaya Sama.Mr. Bonaya Sama :Dhuubbin ann dhuubbad dhuubb taa serr laafa tok jeedTranslator :Anatoa mapendekezo yake juu ya mipaka.Mr. Bonaya Sama :Seerrale seerr gaarr laff meeroo khaanTranslator :Na ni mpaka upande wa Meru.Mr. Bonaya Sama :Dhuubb meeron laaf teen yaa fuudaatee dhaabbart jeed. Aakhan feed seerr suun fuuaaqaarra taaa dhuurri mpaaka gaaff kooloni, gaaffasuu seeri laaf kuutanii, seerr qaarra nuurra dheebbisan feedTranslator :Anasema mimi napendekeza ya kwamba katika hii Katiba mipaka yetu ambayo imenyakuliwa naMeru District turudishiwe vile mipaka wakati ya ukoloni ilikuweko. Ile sehemu imenyakuliwa irudishiwe sisi.Mr. Bonaya Sama :nuura fuudanii jeedinMpaaka issi kiina gaarra khees daabdhe, laaf beetta meeroo taakifte hooratee, suule khaaTranslator :hayo tu.Anasema hiyo mipaka hao wameleta imekuja mpaka kina iondolewe. Maoni yake anasema ni

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!