10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

103inasema Trust Land iko chini ya County Council ni uwongo, Hapa sehemu hii inakaa kama malaya hapana ikohome kwenu mtu. Sisi hapanataka namna hii. Mimi napendekeza ya kwamba mambo ya Trust Land ifutiliwembali sehemu hii iwekwe Community Land katika hii district. Nitakuwa na haraka haraka sana.Mimi napendekeza ofisi ya Commissioner of Lands ifutiliwe mbali kwa sababu anakaa huko anagawanya ardhi hiibila kuuhusisha mtu yoyote vile anavyo taka. Kwa hivyo ofisi ya Commissioner of Lands be abolished. Na piakwanini hiyo ofisi iwe abolished. Mambo yote ya ardhi inahusika na Commissioner of Lands. Na pia Serikalianasema chini futi yoyote ambaye iko futi tatu chini ni ya Serikali. Sisi tunataka hiyo Katiba ibadilishwe nyumbahii yangu ile kitu iko futi mia moja ndani iwe niya wananchi.Adjudication of lands: Sehemu zote za Kenya zimegawanya kwa wenyewe sehemu ambayo imebaki ni yawafugaji. Mimi napendekeza ya kwamba Adjudication ifanywe na kulingana na divisions na wananchi wapatiwetitle deeds kulingana na divisions. Division ya Garbatula one title deed. Division ya Bodogashen, one title deedpamoja na wenyewe wakihusishwa ili nchi hii iwe halali iko na mwenyewe. Kwa sababu insecurity yetuimetokana na temporary land. Ardhi ambayo haina wenyewe. Nikiuliza sisi hapa ni Kenya, Kenya namna gani?Sisi nataka sehemu yetu sisi wenyewe kama wakati wa ukoloni mtu akingia anaweka fine mia moja. Ng’ombeikiingia unaweka ...[Vernacular inaudible] ]... sisi nataka sehemu zote ambayo ni boundaries ya district ingine watuwakae kwa District yao.Nataka iwekwe kwa sheria. Kwa sababu tumesumbuliwa na haswa na watu wa Northern Kenya hawa heshimumpaka. Sisi tunataka iwekwe kwa Katiba, hakuna mtu anafika kwa mpaka ingine kwa mwingine kila mtu akaekwao. Ili ukiingia hatua ya kisheria inachukuliwa. Kwa vile saa hii hata ukiulizwa hakuna kitu wewe uta fanywa.Wanasema Kenya ni moja. Hapanataka namna hiyo. Kama Kenya ni moja kila mtu akae kwa wilaya yake.Labda sisi Katiba na Serikali ambayo ilioko sasa, na mimi pengine ni moja wa viongozi katika vile mimi ninaonaSerikali ime-fail kutekeleza wajibu wake, gani? Elimu, afya na kulinda mtu na mali yake Serikali ime-fail. Sijuikama Katiba ya zamani inasema Borana katika Katiba asiangaliwe mali yao, wasichungwe mali yao. Kamaimekosekana kwa Katiba iwekwe saa hii mali yetu, afya elimu tupate kushinda wale wengine sasa kwa viletumewachwa nyuma. Kama Serikali ime-fail kulinda hiyo sasa katika ile Katiba inakuja ipatiwe specialconsiderations such that sasa sehemu hii ya ufugaji wapatiwe elimu ya kutosha, wapatiwe afya ya kutosha hiihospitali hii yote ni empty. Sijui kama Katiba inasema hivyo. Kama inasema hivyo inatudhulumu.Kwa hivyo sasa basi katika ile Katiba inakuja mimi napendekeza ya kwamba katika Katiba na Serikali ambayoitakayo kuja tupatie nafasi zaidi ya kazi kuliko wengine kwa sababu tuliwacha katika national cake hakuna Mboranandani. Borana Dc labda ni moja, hakuna Minister moja labda katika hii Kenya hii kwa kila namna tume wachwa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!