10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

148<strong>Of</strong>isi ya Ombudsman iundwe Katiba ikubali ofisi kama hii iundwe ambayo mtu yoyote atadhulumiwa na ofisayoyote ya Serikali aweze kwenda kushtaki pahali atapeleka malalamiko yake.Na pia <strong>Constitution</strong>al Court Katiba ipatie provision <strong>Constitution</strong>al Court iundwe, ili wewe right yako ya<strong>Constitution</strong> ikiwa imekuwa violated by somebody unapata pahali pa kuenda kutetea kushtaki ili hiyo haki yakoambaye imekanya wa ulipwe.Ya mwisho mimi nasema, amendment. Amendment isifanywe ya Katiba na bunge. Ikiwa inahitajika kufanyaamendment ama marekebisho fulani ndogo ndogo wananchi wahusishwe. Kifungo chochote ya Katiba ambachoinahusu dini ya mtu isifanyiwe marekebisho kabisa. Haya machache napeana karatasi yangu …[Arabic dialect]…Com. Lethome :Nuria Wario halafu afuwatwe na Alkano Galgalo. Alkano yuko hapa? Hayuko. Roba Ali?Hayuko. Abdikarim Wako? Abdikarim Wako hayuko. Haya Nuria endelea.Mama Nuria Wario :Asalaam Aleykum! [inaudible]Com. Lethome :Haya endelea Mama Nuria.Mama Nuria Wario :Waan ann seehuu issaaniin gaarbba kuun cuuf imbbetaaniiTranslator :Mama anasema nyinyi nyote wa Garbatula munanifahamu.Mama Nuria Wario : Ann Nurria Waariot. Nuu fuulaa cuuffatuu, nuu naaden nuu tuufaatan. Hoojja nuuqaarr iillmaan dhuubra issin daalatuyyu, waan kheen khaa diibba issilleen naamuum jeedan. Hagg nuu naamaanaamii imbbeen injiirr issani khaan cuuf guuggurdhoo khaan dhiidhiqoo diig guurggurdhimnee aarmaan geeneeTranslator : Mama anasema kwa jina mimi naitwa Nuria Wario anasema kwa dhulma ya kwanza imeanziakatika uzalisaji mtoto akizaliwa anaulizwa kwani ni msichana au kijana ikisemekana ni msichana atakuwa tu lakiniakisemekana ni mwanaume Mungu amfanye akuwe kubwa. Hii ndio dhulma ya kwanza imetuanzia kwa uzazi.Mama Nuria Wario : Nuu dhuubba waan nuu feejnuu fuulaa teenaa, nuuleen naamuumaa, naam guuggurdhaakhaan cuuf nuumma guurggurdhisse yoonaan gaaee, nuu dhuubb diibb kheen khaa nuu qaamnuu, haaqqi laafaaleeinqqamnuu, nuuf jiirraniin teenaleen cuuftinuu taa soomaali laaf jiirti, meerron laaf jiirti, cuuftii issi haaqqi issiinqqaabdii, naamii haaqqi inqqamn nuu booraan caalaa

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!