10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

169Ningependa kukuhakikishia ya kuwa ni vizuri hivyo ulivyosema kwa sababu kwanini tupoteze wakati hapa sikumzima mumewacha kazi zenu na sisi tumewacha kazi setu halafu hii iwe ni kazi ya bure tunafanya. Hata kamamimi ni yeye ningesema tuwashtaki watu kama hawa wanatupotezea wakati. Lakini ningepende kukuhakikishia yakwamba hii <strong>Commission</strong> ni tofauti na <strong>Commission</strong> zingine. Haijaundwa na Presidential Decree. Haikundwa kwaamri kutoka kwa Rais. Imeundwa na sheria ambayo imepitishwa katika bunge. Na hiyo sheria ambayo imepitakatika bunge imesema, lazima maoni ya wananchi ifike katika Katiba mpya. Na imeweka viwango viwili vyakuhakikisha, yaani guarantee mbili, ya kukuhakikishia kuwa maoni yako yamefika.Ya kwanza baada ya sisi kuchukuwa maoni yenu tutapeleka Nairobi itachapishwa kwenye kitabu, booklet. Hichokitabu kitarudi kwenu tena kitazunguka miezi miwili kwa hivyo kwa muda ya miezi miwili haya maoni yata rudikwenu mtaweza kuangalia maoni gani yamepita na maoni gani hayakupita huko. Kwa hivyo unaweza kulalamikakatika kiwango hicho.Baada ya hapo kutakuwa na conference, mkutano ambayo itakusanya watu <strong>Kenya</strong> mzima watu mia sita watakutanaNairobi kwa muda ya miezi miwili. Katika hiyo conference kutakuwa na wakilishi wenu wakwanza atakuwa nimjumbe wenu kwa sababu Mp’s wote watakuwa kwa hiyo conference. Katika kila District mtakuwa na watuwatatu, mimi nawaambia hivi ndio isipite musikie Isiolo imepeleka watu watatu na hamna habari. Isiolo Districtitapeleka watu watatu Nairobi. Na mmoja lazima, lazima awe ni mama katika hao watu watatu wa District.Political parties, kila chama ya kisiasa itapeleka mtu Nairobi. Kila organization ya dini, kwa hivyo mamaudin? nawengine watu wa dini watakuwa na walikishi wao. Organization ya vijana, organization za akina mama,organization za pastrolists na organization ingine yoyote ambayo ni registered watu watapelekwa Nairobi watakaamiezi miwili. Sababu ya hiyo mkutano ni kwenda kupitia report moja moja moja moja mpaka mwisho na yalemambo ambayo yatapita katika conference ndio yatapelekwa katika bunge. Yale ambayo hayatapita yatafanyiwakitu tunaita referendum au kura ya maoni. Sijui mnaitaje kwa Kiborana, Wasomali nimesikia wakiita Aglabiyathau Stiqsaf nafikiri mnafahamu maana yake ni nini. Kila mmoja ataulizwa kwa mfano mnazungumza habari yaMajimbo. Ikiwa katika conference watu hawatasikizana kuhusu majimbo itapigiwa kura na Wakenya wote. KilaMkenya ambaye amefikisha umri ya kupiga kura atapigia hiyo neno la jimbo kura. Mtasema ‘A’ au ‘yoyo’ kamahukubaliani naye.Unasikia ndio maana ya referendum. Ikipita hapo ndio itaandikwa report ipelekwe bunge. Kwa hivyo kunanafasimara mbili ya wananchi kuhakikisha kuwa maoni yao ile ambaye tumechukuwa hapa imefika huko. Na ndiounaona tunafanya bidii, kuna mtu mwenye kuandika kwa mkono, na kuna machine pale ina-record-i, hata ukikohoaukicheka ina-record-iwa pale na ita pelekwa huko kwa jina lenu Garbatula, sasa yule pale anajua ni cassette ngapi

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!