10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

120Translator : Anasema kuna wakati tulikaa mkutano wa security tukapitisha Modogashen. Mtu akichukuwa ng’ombe ya mtu ng’ombe moja, ng’ombe tatu, na mtu akiuwawa, ng’ombe mia ilipwe ridhaa yake na wale kabilaambayo ni ya huyo mtu, naikiwa ni mwanamke ni ng’ombe hamsini sasa nataka hiyo iandikwe iwe kama Katiba.Namna hiyo tu ndio inaweza fanya watu waogopane wawache hii fujo ambayo watu wanafanya.Mzee Godo Jahani : Waan ann jeeduu binnensi yaa naam irr dhaabbr jeedin. Binnensii naam eejjeeseedhaamaana qaabb luubbu naamaa dhaamaana irr gaalt . Luubbun naamaa khaa dhaamaana hooratee binneensii khaadhaamaana gaaluuTranslator :Anasema wanyama wasiwe na kwa sababu leo wanyama wako watu wanawatetea lakini sisi nafsiyetu na mali yetu hakuna mtu anatutetea.Mzee Godo Jahani : Binnensii khuun yoo shaamba nyaatuu, shaambaa aabbaan teegeemee took, innihoobbassee woomaa imbbaaftuu, qoolumaat haaftee luubbulee daabdhaa. Khaa shaambballe ridhaa akh dhaansaa—dhuurii gaarr down country khaanaa inn lliippani, naamii woomma inqqaamn gaarr kheen khaana naamii rawwatgaar kheen khaanaa, nuu woomayyu inqqaamnu, illaa haamtuun nuu llaalanii, waan aann seehuu, rules keenyaallekaandoo jiirr maallee, ndaanii khees injiirru, haa aadhaan biiyya jiirrt nuu jiirtuu jeed woorr northernTranslator : Anasema ile sheria ambayo ile hati ambayo watu wamashamba wanapata, sisi nasi pia tukiwawafugaji na watu wa sehemu hii tupewe haki. Mali yetu nafsi zetu ziifadhiwe na ichungwe na Serikali vile ambayoinachunga mali ya wengine na nafsi ya wengine.Mzee Godo Jahani :Mimi kwa hayo nasema machache tu hapanasema mingi sababu kama sisi tunachukuamuda hata hawa ma-<strong>Commission</strong>ers wanasukuma wanasema pea watu nafasi.Com. Lethome :mfuwate.Asante sana Mzee. Abdilahi Gartasa? Yuko amefika? Sheikh Salad yuko? Sheikh SaladMr. Abdulahi Gartasa : Bwana <strong>Commission</strong>er ningetaka kukujulisha ya kuwa hata wakati ule weweumeomba nafasi pia lakini pia umeanza kupatia wengine. Asalaam Aleykum ni mwaambie, lakini kama hungekuwa umepatiana hiyo nafasi tunge endelea zaidi kwa sababu viongozi wako na nafasi tumepatiwa nafasi inginewataenda ku sema…Com. Lethome :Basi hatuwapatii nafasi ingine endelea endelea sasa...

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!