10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

85Sasa hao wengine walipoenda kutafuta kazi na wengine wale wamebaki sasa wanaogopa Serikali wanakaa kwenyekichaka waka grab our land wanasongesha mpaka sasa karibu imefika ndani ya Kinna. So this land is illegallytaken and we want our land back in simple terms. Halafu kuna ardhi yetu ingine ime-grab-iwa sana, kuna hiikumimim? i ambayo iko na jina it is registered under Kamlesh Pattni. Ni ardhi ya Kamlesh Pattni, lakinitunadhani ni yetu. Matasala? ni ya Mkikuyu, sio yetu bado. Lakini by virtue of right it is supposed to be ours andours.Duse mines, hii Duse mines kwanza ndio matatizo kubwa yetu, mimi nikisema Duse mines saa hizi nasikiauchungu zaidi, kama kungekua na muhindi hapa hivi ningegongana na yeye mkono kwa mkono lakini basi. MhindiI don’t blame even Mhindi, I blame the Government of <strong>Kenya</strong> because the Ministry of Natural Resources, theMinistry of Lands and the local authority is behind this issue na in fact kama tungejua we want our land to beowned by the community it is pastrolist land it is supposed to be respected more than the rest of the land. Hii nipastrol land mahali ambapo unapata mnyama aina yote wazungu wanakuja kutazama wana kulipa pesa unapataforest mzuri mzuri zote zimeuzwa mbona sisi tusiuze? Mbona sisi tusikate hiyo ile watu wanaingiza nao interestmbona tusifanye hivyo why not us? Why always the Government is behind our rich land? Serikali hii inatutakianini? Je, sisi sio citizens wakenya, simply if we are not citizens of <strong>Kenya</strong> the Government is supposed to say thatwe are not citizens of <strong>Kenya</strong> so that we think otherwise.Now in simple terms I’m going to be short and precise. I don’t like to be wide in my points. I would just say mysolutions. Kwa sababu hii mambo ya land inasemekana na kila mtu, na kila mtu anajua ya kwamba tumedhulumiwana Serikali kuhusu ardhi yetu. Kama ingewezekana Duse, leo , leo tunataka wahindi wahame, kama ingewezekana.“woollin jirr moo?, yoo siilla akhaa maooni tiyya llaalan arrdd hiindhiin dhuusee daakaa tok keessa hiinfuut”Lakini hatuna uwezo mimi najua Waborana sisi hatuna uwezo. Hakuna haja ata tukingojea Katiba ibadiishwe ndiotupate land yetu. We are supposed to advocate for this land and then tufukuze hawa watu tunafaa kuwafukuzakabisa wasingie.Tunafaa tuwafukuze kabisa kwa sababu exploitation imeenda kutoka kwa mzungu imepitia Mkikuyu sasa imefikakwa Mhindi ambaye hawezi kuwacha chochote hapa hivi. Kesho wakienda by the time hii Katiba itabadilishwa hioardhi tutakuta hakuna hata caption ya mawe pale. Mnanifahamu “captioniin khaa woori qaarraa baarudhaan haadeehoobbas khaan, kaayyu nuu liqiimnsa kee baarbbadhacuu jiiru suun” now for my solutions.The Boundary of 1953 should be followed strictly in the next constitution.Our land and properties should be respected and compensation should be given to the local communities. Sisi

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!