62Barazaa ya Wilaya, ama local government. mayors and council chairmen should be directly elected by thepeople, and should serve for a five year term. Haya yametajwa hapa awali. A Councillor should have an ordinarylevel of education and above Division III or D + in 8-4-4 system. Yaani anayetaka kuwa Diwani, lazima awe ni na...ni msomi kiwango fulani. Amepata daraja la tatu ama katika mfumo mpya wa nane-nne-nne awe ame pata D + , hayoni kurahisisha kazi. Leo hii tunaweka mikono ya kwamba mabaraza yote nchini kuna matatizo. Kwa sababumadiwani wote si wasomi. Kwa hivyo wakisoma tuta kuwa na matatizo machache.A nomination of a Councillor should go to special groups eg., women, blind, crippled, and minority groups.Hapa vile tunavyoona leo, mtu akiwa ame... amekuwa nominated imekuwa siasa. Mtu anapatiwa hiyo udiwanilabda mtu kutoka kama ni siasa uko fulani, hii kazi... hii nomination of councillors has a purpose. Iko na sababu.Ingawa serikali haifuati. Imebuniwa kwa sababu labda, wale jamii ambayo hawaja bahatika kama walemavu, watuambayo ni wachache katika hiyo sehemu, wa patiwe nafasi. Kwa hivyo pia iangaliwe, tumesema.An aspirant should be twenty-one years and over, for a councillor and thirty years for a mayor.Anti corruption units should be identified with frequent and be arraigned in court, that is. Anti corruption unitsidentify Council with frequent, and be arraigned in court. Wale wana husika na labda mambo ya ufisadi sectorhiyo iangalie ya kwamba Council ambaye iko na shida wa angalie na washike wanahusika, na wapelekwe Kotinimara moja. Their books of accounts should be inspected after every six months. Tunaona ya kwamba, Counciliko na pesa ingine, lakini pesa hizo za raia, zinatumiwa vibaya. Kwa hivyo serikali itakayo buniwa ichunguze zaidi,ya kwamba pesa hizo, zisitumiwe vibaya na watu wachache.Livestock: Sehemu hii ni muhimu sana. Sisi ni wafugaji. Livestock... mambo ya wafugaji. A livestock marketshould be established within the areas of grazing. Hapa tunahitaji soko la wanyama, labda factory ya nyama,mambo haya yabuniwe hapa ili sisi tuweze kuuza wanyama wetu hapa. Badala ya kupeleka wanyama wetu Nairobi.Wanaotaka kununuwa ng’ombe zetu, mambo mengine wote wakuje hapa. Sisi tusi peleke ng’ombe zetu Nairobi.Factories for livestock ...[inaudible]... should be established. The state should boost livestock sectoreconomically so as to increase its contributions to the Exchequer.A Board of Commissioners should be set up, and the members should only be pastrolists because they know ourproblems better. Hapa leo tunaona ya kwamba, Mjaluo ndio board member wa mambo ya ng’ombe, Mkikuyu ndioboard member, Mkisii... na mambo ya ng’ombe. Kwa nini sisi wafugaji, ni sisi Waborana tusiwe board memberswa hiyo sector, ili tuweze kufanya kazi yetu. Tunasema ya kwamba Board ikichaguliwa wafugaji wenyewe, kamani Wasomali, Waborana, Wasamburu wawe ni Board members badala ya kuweka Njoroge akina Kamau, Otieno
63wanakaa Nairobi....Com. Muigai :...[...ha Ha! ha...]...Mr. Huka Ali : The state should only buy the product of our animals and not import from other countrieswhen we have ...[inaudible]... The Livestock the livestock and their products should be advertised in the media.Leo tunakuta ya kwamba Serikali inasema ya kwamba, uti wa mgongo ya Serikali ni majani na kahawa. Jambo lakusikitisha kwamba ng’ombe wetu, wana nyama, wana ngozi, ata mifupa yenyewe, inatumiwa kwa kutengenezagum. Lakini Serikali inatangaza majani, America kwa Tv kwa media. Kahawa ya Kenya ni bora, ng’ombe yetu piani bora kushinda majani. Sindio. ...[inaudible]...Com. Muigai :...[...uHu!...]...Mr. Huka Ali : Kwa hivyo hayo yote ni dhulma tunafayiwa. Serikali advertise, sisi Waborana kwanza tuna ng’ombe bora zaidi kushinda kila mtu. Ng’ombe wetu ni maridadi sio ...[inaudible]... Kwa hivyo waangalie hayomambo. The Borana Bulls are the best, I suppose.Good transport and communications should be set up for easier running of these activities and marketing.mawasiliano bora ya buniwe. Labda tukipata factory hapa ndani ya nyama, ya nini tunataka mawasiliano bora.Barabara zetu zipigwe lami. Barabara... barabara zetu kutoka miaka nne... miaka arubaini iliopita hata hakuna...hakuna sehemu zimepigwa lami. Kwa hivyo katika Serikali zijazo tunataka mawasiliano bora. Kisumu barabara.Mambo kama hii.More funds should be allocated to the Ministry of Livestock for better health care of our live... animals. Morepastrolists should be trained as livestock officers and sent to the localities. Foreigners don’t have efficiency inrural areas. Leo tunaona kama hamujui Garbatula leo iko na Officer ya Maji, iko na Officer ya Ukulima, inaOfficer ya Veterinary. Lakini wana kaa wapi, urban centers. Kwa sababu hata mkubwa... mkubwa pia ni Mmeru, niMjaluo, mbona wasikuje hapa ili wajuwe mambo ya mifugo. Kwa hivyo tunapendekeza wafanyi kazi wa ukulimasana sana Veterinary Officer should be stationed around. Locals. Wale wengine kutoka nje, they have proved tobe inefficiency, in most cases.The State should let... should set up savings and credit interest free banks in Muslim pastoral areas. Tumeona yakwamba wakulima wako na banki yao. Ukienda Meru utakuta, a very big bank. Meru co-operative bank, sisi piakama wafugaji, katika Serikali itakayo kuja tunahitaji banki ya uko... ya wafugaji, au namna gani. ...[inaudible]...Yes tunahitaji banki ya wafugaji. The State should provide legitimate funds to the owners of large herds of
- Page 1 and 2:
Constitution Of Kenya Review Commis
- Page 3 and 4:
3Tumechelewa kidogo. Wale ambayo wa
- Page 5 and 6:
5dakika kumi. Mwisho kabisa dakika
- Page 7 and 8:
7Mzee Wako Hache :Maaooniin tiiyyaa
- Page 9 and 10:
9Translator :Lazima sheria mpya, ih
- Page 11 and 12: 11ambayo imenyakuliwa irudishwe. Ni
- Page 13 and 14: 13Translator :mambo mingi.Anasema S
- Page 15 and 16: 15akh siirkaali haatua itti fuudaat
- Page 17 and 18: 17Translator :Sisi ni watu wa mifug
- Page 19 and 20: 19aaggart khaanii, maaqaa aabbootii
- Page 21 and 22: 21Na mfanya kazi ambaye ni Muislamu
- Page 23 and 24: 23kazi, tuwe local na tupate sawa s
- Page 25 and 26: 25cuuf wool fiitTranslator : Anasem
- Page 27 and 28: 27inyoonggan jeedaanii acciin dhaab
- Page 29 and 30: 29kupigwa ipigwe marufuku.Com. Muig
- Page 31 and 32: 31na nini... na umeletwa hospitali.
- Page 33 and 34: 33zinaendelea kuwa huko Nairobi. Ki
- Page 35 and 36: 35Sheikh Dabaso Ali Dogo :...[Arabi
- Page 37 and 38: 37kwa sababu, nikiondoka sitapata k
- Page 39 and 40: 39Translator : Mzee anapendekeza ya
- Page 41 and 42: 41skuulla, ijjooleen laaf taanaa ma
- Page 43 and 44: 43we are now becoming vulnerable to
- Page 45 and 46: 45kidogo vile alisema, lakini natoa
- Page 47 and 48: 47Com. Muigai :Karibia mic.Mr. Moha
- Page 49 and 50: 49Serikali lazima ipewe pesa sawa n
- Page 51 and 52: 51kuchukuwa Passport unaenda Nairob
- Page 53 and 54: 53ikivunjwa na ndovu shilingi elfu
- Page 55 and 56: 55Ya mwisho kabisa natakakusema hiv
- Page 57 and 58: 57zamani walisema the President is
- Page 59 and 60: 59Parliament should make laws for t
- Page 61: 61The Chief Kadhi should be head of
- Page 65 and 66: 65rural areas. Hakuna senti ya budg
- Page 67 and 68: 67Kutairisha wasichana: Unasikia sa
- Page 69 and 70: 69Translator :Waislamu tuna haki ga
- Page 71 and 72: 71hao watu. Tusiwekwe chini ya East
- Page 73 and 74: 73kwa Katiba yetu mpya, hiyo maji a
- Page 75 and 76: 75kheen maalaa maari yaadh, maalaa
- Page 77 and 78: 77khees maa ingguurr, taa biiyyaa l
- Page 79 and 80: 79South-Horr, Gaas Kaargii, Qaarrar
- Page 81 and 82: 81mimi naona inaitwa Meru National
- Page 83 and 84: 83wale viongozi, tumewachagua ndio
- Page 85 and 86: 85Sasa hao wengine walipoenda kutaf
- Page 87 and 88: 87Kwanini sisi tusi pate hio fursa,
- Page 89 and 90: 89irraa dhaamnTranslator :Tuki rudi
- Page 91 and 92: 91Mr. Abdirashid Ali Tacho : Nuu bo
- Page 93 and 94: 93hapa na wanaishi hapa Mbarambate?
- Page 95 and 96: 95Aadhaa laafaa, Ibbsee laafaa aahh
- Page 97 and 98: 97sisi kama wafugaji ardhi yetu isi
- Page 99 and 100: 99Pia ningependa tu kusema ya kwamb
- Page 101 and 102: 101education, kama ni maji, kama ni
- Page 103 and 104: 103inasema Trust Land iko chini ya
- Page 105 and 106: 105ridhaa. Hiyo ndiyo maoni yangu.Y
- Page 107 and 108: 107wholesale gani hakuna mtu anawez
- Page 109 and 110: 109Translator :Anasema nikiwa na ma
- Page 112 and 113:
112Mzee Haro Sime :Aarmmaa kheessaa
- Page 114 and 115:
114mwenyezi Mungu ametupatia, sivyo
- Page 116 and 117:
116maanani iende sambamba na sheria
- Page 118 and 119:
118maji itakuwa mambo ya Serikali y
- Page 120 and 121:
120Translator : Anasema kuna wakati
- Page 122 and 123:
122kuwacha kwa sababu wamefanya dhu
- Page 124 and 125:
124Ya tatu mamlaka ya rais ipunguzw
- Page 126 and 127:
126Councillor ama Bunge tukifanya c
- Page 128 and 129:
128halafu tuingie kwa kina baba ten
- Page 130 and 131:
130Ya kwanza ni affirmative action:
- Page 132 and 133:
132na mama kwa muda wa miaka kumi-n
- Page 134 and 135:
134Com. Lethome :Tupa tupa tu!Mr. O
- Page 136 and 137:
136Com. Lethome :Unapendekeza nini?
- Page 138 and 139:
138wako na shamba. Ni kama huko upa
- Page 140 and 141:
140create fear watu waogope kuingia
- Page 142 and 143:
142mjumbe wangu niko na minister fu
- Page 144 and 145:
144Mr. Ahmed Noor Wako :Asalaam Ale
- Page 146 and 147:
146wengine tena. Kwa sababu hasara
- Page 148 and 149:
148Ofisi ya Ombudsman iundwe Katiba
- Page 150 and 151:
150Translator : Mama Nuria anasema
- Page 152 and 153:
152ammantan maanikhan wooni akhaana
- Page 154 and 155:
154Mr. Bonaya Sama :Taan dhuubb dhu
- Page 156 and 157:
156Garbatula.Mr. Abdikadir Mohammed
- Page 158 and 159:
158Translator :Aam maan feet ree, a
- Page 160 and 161:
160Mzee Abdi Dubukusu :...[inaudibl
- Page 162 and 163:
162Translator :Na hata ngozi ya Chu
- Page 164 and 165:
164sababu Wanakenya wengi hata watu
- Page 166 and 167:
166security then Dc huyu wa Isiolo
- Page 168 and 169:
168Somalia na wakarudi, wali enda h
- Page 170:
170za Garbatula ame record leo. Hak