10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

5dakika kumi. Mwisho kabisa dakika kumi. Ikiwa hauna maandishi. Lakini tunajua kuna watu ambayowametayarisha memorandum, wameandika maoni yao. Hao tunawapatia dakika tano. Hizo dakika tano sio kusoma, ile memorandum, unapitia zile nukta muhimu muhimu halafu dakika tano zikiisha nikikuambia, time yakoimeisha tafadhali uniheshimu, halafu unipatie maoni yako. Hiyo ni sheria ya... ngapi hiyo... ya pili.Ya tatu, ni, kuna watu wengine ambayo wako na memorandum na pengine hawataki kuzungumza, anataka tukupeana karatasi, halafu aende shughuli zake. Utakuja umuone Solomon hapa. Umupatie memorandum yako,ukitaka kuendelea kusikiliza vizuri. Usipotaka unaweza kwenda, kupumzika ama kufanya kazi zako zingine.Halafu kuna kitu ambacho Councillor ametaja na mimi nitataja hapa. Najua kwa sababu ya historia ya nchi hii.Hasa sehemu hii ya North Eastern. Au Northern <strong>Kenya</strong>, ikifika mambo ya kuzungumza habari ya sheria, aumambo inahusikana na Serikali, kila moja anaogopa. Sijui nitasema kitu fulani ambacho inahusikana na Serikalibaada hapo nitafuatua na Polisi, mali yangu itasumbuliwa. Sasa mimi na rudia vile Councillor amesema. Serikaliyenyewe imetoa nafasi hii, kwa wananchi. Serikali yenyewe imepitisha sheria ika sema <strong>Commission</strong> iende kwawatu ichukue maoni, wa watu. Na hiyo, hiyo sheria imesema watu watoe maoni bila kuogopa chochote, amayoyote. Bora usivunje sheria. Siku ku ambia uanze piga watu na mawe, ama nini. Usivunje sheria.Lakini ikifika kutoa maoni sema vile unataka. Unaskia... usiogope. Na Waborana mimi na jua si watu waoga.Lakini nina wahakikishia tu. Sheria imekuhifadhi utoe maoni yako vile unavyotaka. Hata sheria imesema mtuyoyote ambaye atazuiliwa kutoa maoni yake ni hatia. Ni hatia kuzuwia mtu ku toa maoni yake. Leo iko mfanomtu kama Chief ama mtu mwengine aje aseme usiseme hivyo. Tunaweza kumchukulia huyo Chief hatuwa. Aumimi niambie huyo Mzee usiseme. Ukifika hapa, sema vile unataka. Na hiyo maoni yako itachukuliwa naitasaidia katika kutengeneza sheria mpya. Ujue tumengojea hii siku, miaka thelathini-na-tisa. Tumengojea hiisiku ya leo. Tangu tupate uhuru miaka thelathini-na-tisa. Na ile sheria ya kwanza maoni ya watu haikuchukuliwa.Maoni ya watu wa Garbatula ilichukuliwa? Nafikiri haikuchukuliwa. <strong>Kenya</strong> mzima hakuna mtu maoni yakeilichukuliwa.Sasa hii nafasi Serikali imekupatia utoe maoni yako, utoe bila uwoga, bora tuheshimiane, tusi haribu sheria, tusiharibu amani, hata ukiona kama kuna walinda amani hapa, hao kazi yao ni security tu. Hawana kazi ingine. Watakaa huko, wawe wanaangalia tu mambo ya security. Hawa ingilii mtu, au kuwashika waKizungumza na mtu, waowanafanya kazi yao, sisi tuzungumze tu. Tuseme vile ambavyo tunataka. Hivyo tumefahamiana?Nafikiri tutaanza. Na mpaka sasa mimi naona sura ya hii mkutano yetu si mzuri. Kwa sababu sioni kina Mama.Na kina Mama wako na maoni yao muhimu sana pia. Kwa hivyo tungependa wale wanahusika, kama kuna watu waCommittee ile ya Three C’s, tunataka kina Mama pia waweze kufika hapa. Waweze kutoa maoni yao. Tunataka

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!