04.09.2013 Views

Upendo ni Utimilifu wa Sheria Insha juu ya Maadili - Martin Bucer ...

Upendo ni Utimilifu wa Sheria Insha juu ya Maadili - Martin Bucer ...

Upendo ni Utimilifu wa Sheria Insha juu ya Maadili - Martin Bucer ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

125

Hadhari (exceptions): mambo yanayojitokeza kinyume na kawaida

iliyozoeleka. Pia huitwa vighairi.

Helenistiki (Hellenistic): -enye asili ya mchanganyiko wa Uyahudi na mataifa

mengine.

Insha (Essay): Utungo wenye maelezo ya mjazo au nathari kama ilivyo katika

hadithi n.k.

Isimu (linguistics): Elimu inayohusika na sayansi ya lugha.

Istilahi (terminology): Msamiati maalumu utumikao katika shughuli Mahususi

(mfano, istilahi ya kitheolojia “Utatu”; istilahi ya kibenki “hawala ya fedha”).

Jinsi (sex): maumbile ya kike au ya kiume.

Kanisa la Kiserikali (State Church): Kanisa lililokubaliwa na serikali tawala

kama kanisa la utawala huo.

Kiini tete (embryo): Tokeo au zao la kuungana kwa mbegu ya baba, na yai la

mama.

Kipera : kitawi kidogo kutoka kati ya matawi makuu. 2. sehemu ndogondogo za

jambo au kitu.

Kirai (phrase): kifungu cha maneno ambacho kimsingi hakina kitenzi ndani

yake.

Kisawe (synonym): neno lenye kufanana na hilo au lenye kukaribiana sana.

Kita (rely): zama 2. egemeza kwenye... au tegemea kitu fulani.

Kitenzi (verb): Neno katika sentensi au tungo lielezealo juu ya tendo au hali.

Kizungumkuti: mtu kuwa katika hali ya kushindwa kuelewa kipi atakiwacho

kufanya (kukosa maamuzi).

Komentari (commentary): Kitabu kinachohusika na hoja, maoni, maelezo au

mafafanuzi zaidi juu ya kile kinachosemwa au kilichoandikwa. Kwa hiyo

Komenteta ni mwandishi au mtoa hoja, maelezo au mafafanuzi zaidi.

Liturujia (liturgy): Taratibu au mfumo wa uendeshaji ibada.

Maada (Matter): kitu chochote chenye uwezo wa kuchukua nafasi na kina uzito.

Maadili (ethics): matendo au tabia njema zinazokubalika na jamii husika.

(Lakini katika ujumla wake twaweza kuwa na maadili mema au maadili

mabaya).

Mababa wa Kanisa (Church Fathers): Viongozi wa Kanisa katika karne za

mwanzo waliotoa mchango uliotukuka kwa kanisa.

Mada (Topic): Jambo la kuzungumziwa 2. kichwa cha habari.

Mashariki ya Zamani (Ancient Orient): Nchi za China, Japani na zile za

Mashariki ya Asia katika wakati wa zamani.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!