04.09.2013 Views

Upendo ni Utimilifu wa Sheria Insha juu ya Maadili - Martin Bucer ...

Upendo ni Utimilifu wa Sheria Insha juu ya Maadili - Martin Bucer ...

Upendo ni Utimilifu wa Sheria Insha juu ya Maadili - Martin Bucer ...

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

96 Haki za Binadamu na Imani ya Kikristo

HAKI ZA BINADAMU NA IMANI YA KIKRISTO

(1997) 137

Yaliyomo

Binadamu kama Kiumbe na Mfano wa Mungu

Mizizi ya Kikristo ya Haki za Binadamu

Mwako au Msamaha na Toba?

Haki za Binadamu Hutangulia Serikali

Maana ya Warumi 13

Juu ya Kutenga Kanisa na Serikali

Mungu Hajui Upendeleo

Binadamu kama Kiumbe na Mfano wa Mungu

Desemba 10, 1948, Muungano wa Kisovieti ulisaini Azimio Kuu la Haki za

Binadamu lililopitishwa na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa. Azimio

linasema kwamba binadamu wote wana utu sawa (Kifungu 1) na kuzuia ubaguzi

wote wa ujamii*, rangi, jinsi*, lugha, dini au ushawishi wa kisiasa (kifungu 2).

Kwa sababu watu wote wana haki ya kuishi na kuwa huru (kifungu 3), utumwa

(kifungu 4) na mateso (kifungu 5) vinazuiliwa. Wote ni sawa mbele ya sheria na

wanaweza kuhukumiwa tu kwa mujibu wa sheria zilizowekwa, baada tu ya kuwa

wamesikilizwa katika Mahakama ya sheria (kifungu 7-11). Wote wako huru

kuhamia na kuchagua mahali pa makazi yao (kifungu 13) na kuomba ukimbizi

katika nchi nyingine (kifungu 14). Kila binadamu yuko huru kuchagua mwenzi,

na familia, kama ‘kiini asilia na cha msingi katika jamii’, ni lazima alindwe na

Serikali na jamii (kifungu 16+26). Pia Azimio linataka haki ya umiliki mali

binafsi (kifungu 17), haki ya uhuru wa dhamiri na dini, ambao unajumuisha haki

ya mtu kubadili imani yake (kifungu 18), haki ya kutoa maoni na kupata habari

(kifungu 19), haki ya kujumuika na kuunda vyama (kifungu 20), haki ya kupiga

kura (kifungu 21). Kila mmoja ana haki ya kupewa usalama katika mambo ya

kijamii (kifungu 22+25+28), kufanya kazi kwa malipo ya haki (kifungu 23) na

kupata elimu (kifungu 26).

137 Thomas Schirmacher. “Christlicher Glaube und Menschenrechte” (Russisch). POISK: Ezemedel’naja

Vsesojuznaja Gazeta [Journal of the Russian Academy of Science]. Nr. 48 (446) 22 – 28. November 1997.

uk. 13; ilichapwa kwa kurudiwa “Christlicher Glaube und Menschenrechte” (katika Kirusi). Utschitjelskaja

Gazeta (Russische Lehrerzeitung). No. 2 (9667) 3.2.1998. uk. 22. Iliandikwa kwa ajili ya Konferenz

Evangelikaler Publizisten (Mkutano wa Waandishi na Wanahabari wa Kiinjili).

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!