12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

“Na waja wangu watakapo kukuuliza hakikayangu (waambie kuwa) Mimi niko karibu nao.Naitikia maombi ya mwombaji anaponiomba.Basi na waniitikie na waniamini ili wapatekuongoka”.Sharti la Kwanza ni:1. Kumuitikia Mnyezi Mungu kwani anaita katika wema.2. Kumuamini Mnyezi Mungu.3. Unyenyekevu (Tawadhu-i).4. Woga (Khofu).5. Tamaa (kua utapata tu – Confidence).6. Kufanza mema haswa wazazi wawili (kwani BwanaMtume Saw. Amesema:“Ambaye wazazi wake wawili hawako Radhi nae,basi asiwe na haja na mimi”.Basi tuzingatie vizuri sharti kabla kujilaumu. Wengine hutangulizaSwadaka kwa kuwapa watoto (hasa yatima ambao wamekatikiwakabisa), basi Mnyezi Mungu hufurahi na hujibu haraka haraka Duaya mwombaji. Wengine hulisha masikini kwanza kabla ya kuombaDua zao. Tuelewe kwamba masikini wako karibu sana kwa MnyeziMungu, na ndo maana Bwana Mtume Saw akiwapenda sana. Wao piaWataingia mwanzo peponi. Bwana Mtume Saw ameeleza kua:“Ameonyeshwa Pepo akaona wengi ya wakazi wakeni masikini, na akaonyeshwa motoni akaona wengiya wakazi wake ni wanawake”.Maswahaba walipomuuliza juu ya wake zao ambaoWanaswali na kufanza khairati chungu nzima – <strong>Al</strong>iwafahamishaSababu hasa ambayo ndo itofanza wengi waingizwe motoni, nayo ni:a) Kusahau Ihsani za Waume zao kwa kitu kidogo sana.b) Kuwakhini Waume zao.Waombaji wengine hueka Nadhiri kabla maombi yao. LakiniMnyezi Mungu hakopeshwi, kuliko kutumia siasa ya watoto ya:“Nipe Nikupe”. Wewe toa halafu uone utapata au laa?84.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!