12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Wenyewe waharibu nchi (Dini) lakini Dua za Waislamu zitawavutaInsha <strong>Al</strong>lah wazinduke wao wenyewe waipiganie Dini yao zaidi yavile wanavyopigania kuunga mkono mambo ya wageni ambayohayawahusu ndewe wala sikio. Haimkiniki kuwa baada ya kujuakutokana na mafunzo ya Dini: Amelaaniwa Mwanamume anaovaavazi la kike, na Mke avaae vazi la Kiume bila udhuru wa sheria,kisha awe yeye ndo wa mwanzo kupinga amri hiyo ya MnyeziMungu na Mtume Saw). Yule mzito ndo Mwislamu na kafiri hataakiwa Mnene vipi atakuwa mwepesi tu.Basi sharti ya Shahada Mbili itapatikana, ndo sasa inafwatautekelezaji wa Fardhi kwa vitendo. Amma fardhi iliyo kubwa sanakatia Uislamu baada ya shahada mbili, hakuna kama Kuswali.Qur an Suratil Hud:11 : 114.“Na simamisheni Sala katika ncha mbili za mchana(Nayo ni Adhuhuri na Laasiri) na nyakati za usikuzilizo karibu na mchana (Nayo ni Magharibi na Isha –ziko karibu na mwisho wa mchana, na <strong>Al</strong> fajr ipokaribu na mwanzo wa mchana). Hakika memahuondoa maovu huu ni ukumbusho kwawanaokumbuka. ( Haya ni mawaidha kwawanaokubali kuwaidhika)”.Katika kuswali umo Uislamu wote; kwa maana ya nguzo zaUislamu Tano:-1. Shahada mbili, Sawa na kusema kwa Kiarabu “Ashhaduan laa ilaaha illal Lahu”. Maana yake: “Nakiri kwaMoyo ( wewe binafsi yako na Roho na Akili yako) nakubaini kwa ulimi kuwa hapana wa kupasa kuabudiwa kwahaki illa Mnyezi Mungu “Wa Anna MuhammadunRasulul Lah” ( Na ninakiri kwa Moyo na kubaini kwaulimi kuwa) Hakika ya Muhammad ni Mjumbe wa MnyeziMungu.2. Kusimamisha Swala Tano,i. Asubuhi - Rakaa mbili.ii. Adhuhuri - Rakaa nne.67.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!