12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

i.)iii. <strong>Al</strong> asr - Rakaa nne.iv. Magharibi - Rakaa tatu.v. Ishai - Rakaa nne.Wakati wake kwa siku za joto huingia saa 10.30. saa za msikiti(sio kwa saa ya Zone).ii.) Inaingia saa 6.30 ama saa7 mchana.iii.) Inaingia saa 9.30 ya Msikiti.iv.) Inaingia saa 12.10.v.) Inaingia saa 1.30 usiku.Na kila unapokurubia wakati wa Swala gha-lib huepo mwenyekuweta watu (Muadhini) kwenda Msikitini kwa ajili ya Ibada hiyo.3. Kutoa Zakaa. ( Nayo ni fungu maalum) la mali nakuwapa wale wanaostahili miungoni mwa Mafakiri,Masikini, wapiti njia, wanaozitumikia kugawa mafungu,wageni katika Uislamu, walopewa Uhuru, Wenyemadeni, Katika kuipigani (Dini) Uislamu.Mali zipasazo zakaa:1. Mali ya biashara ( Rasilimali ndiyo itolewayo Zakaa Shs.2.50katika Mia) Na baaada kupitiwa na mwaka, sio kila Ramadhani( kama wafanzavyo wengi wa matajiri kwa uchache wa elimu)utafikiri wote walianzia biashra tarehe moja, pia faida.2. Nafaka za punje punje zote kila gunia kumi, utatowa moja, nanusu yake kama umenyesheleza.3. Tende na Zabibu kila mizo mitano ( kiasi cha kilo 1000).4. Mbuzi na kondoo: zikifikia kiwango cha arubaini utatoambuzi jike wa mwaka mmoja (au Thaniyya mwenye miakamiwili). Na wakifikia 121 utatoa mbuzi wawili. Na 201 mbuziwatatu. Na 400 mbuzi wanne. Na wanaozidi kiwango hicho,basi kila mia utatoa mbuzi mmoja.5. Ng`ombe – kiwango chake cha Zakaa ni zinapofikia 30 –(Thalathini) utatoa ndama wa mwaka mmoja. Wakifikia 40ndama jike la miaka miwali.6. Dhahabu na Fedha: (Madini sio Fedha ya sarafu) ) Naisiyokuwa ya pambo la mke iliyo halali). Itapofika Mithqaliishirini. Dhahabu itatolewa Robo ya kumi. - Sawa na 2.50%.7. Zakatil Fitri: Hii hutolewa na kila Muslamu baada kumalizikaRamadhani na ambayo pia hujuzu hata kwa mwanzo waRamadhani. Lakini ilo bora ni kuitoa baina ya Magharibi ya68.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!