12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

chochote. Mnyezi Mungu anapendelea ufanze amal zako kwa ujuzi,kama tilivyokwisha tangulia kusema. Basi shurti zake ni kamazifuatazo, ambazo kwa idadi ni kumi na saba:Shurti za Swala:1. Kusimama kwa mwenye kuweza.2. Nia, nayo ni kusema: “ Uswalli fardhis-swalaatis sub-hirakaa teyni”. Ni Swala ya Sub-hi (laa Swala nyingine basiutaitaja hivyo Swala na Rakaa zake)3. Takbira ya kuhirimia Swala, nayo ni kusema (baada yaneno Rakaa teyni au idadi yenyewe katika Swala) “<strong>Al</strong>lahuAkbar” kwa sharti, usivute alifu tukufu kiasi cha kusikikakama “Aa-llahu”. Wala usivute “Hee” kisi cha kusikikakama “Aallaahuuw” utafikiri iko “Waw” mbele yake. piatamko la “Akbar” lisitamkwe ovyo ovyo, mfano wakulegeza ulimi hata ikazaliwa “Waw” baina “<strong>Al</strong>laa”“Hu-wa-akbar” au usivute “Be” kiasi cha kusikika kamahivi: “Akbaa-ru”. Swala haitasihi na kama u-maamumabasi jambo la maana ni kupitisha nia moyoni ya kumkhalifu(kuachana naye Imam nawe utakuwa hapo hapo safunilakini unaswali peke yako – Utapa fadhila za jamaa kamakawaida).4. Kusoma Suratil Fat-ha pamoja na “Bismillahi” ikiwa niaya amma sivyo katika aya ya saba “Ghayril maghudhubialay him” – Lazima uifanze ndo aya, na “Walaadhdhwaal-liin” aya, wakati pamoja na “Bismillahi” hizozote hua ni aya moj tu.Shuruti za kusoma Fa-tiha:Nguzo hii ni yenye nguvu sana kwa sababu hata ukisomaSura 113 uiwache Sura hii, Swala yako haitafaa, kinyume nakuwacha kusoma hizo (Sura zote 113) ukasoma Fa-thia, Swalaitafaa.76.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!