12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

uhakika mzito kweli kweli kwamba tulikueko kabla.Siri ya Ibin Adamu ajuae ni Mnyezi Mungu peke yake, lakinikwa shuhuda nyingi zilizotapakaa mote mwenye Qu ran, inaonyeshawazi wazi kua Ibin Adamu mbele ya Muumba anayo nafasi mahsusna ya pekee juu ya viumbe wengine. Moja ya kiungo kikubwa chasiri hio na ajabu zake ni Nafsi ambayo imo ndani ya miili yetu.NAFSI, ROHO, MOYO NA AKILI KUINGIANDANI YA KIWILIWILI CHA UDONGO:Qur an:Ad-dahr: 76:1.“Hakika ulimpitia Binaadamu wakati mrefukatika Dahari hakua kitu kinachotajwa(Binadamu ndie kiumbe cha mwishokuletwa ulimwenguni)”.Baada ya kuumba dunia na kuweka kila kinachohitajiwa,Mnyezi Mungu aliweka viumbe mbali mbali kwa madhumuni yaIbada lakini walishindwa.Viumbe hivyo vilomtangulia mtukuishi hapa duniani vinaonyesha kua ni Majini, kutokana nauchunguzi wa kauli ya Mnyezi Mungu, tazama:Qur an: <strong>Al</strong> Hijr:15:27.“Na Majini tuliwaumba kabla, kwa moto waupepo wenye joto (kubwa kabisa)”.Hiyo ni hakika ya wazi wazi kua tulitanguliwa na viumbe wenginewalio tofauti kabisa na sisi. Lau sio Binadamu kama wanavyodaiwatu wa Elimu ya machimbo (Archeologists) mfano wa Dr. Leacky29.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!