12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

ambaye ni mashuhuri zaidi Afrika Mashariki (Tumeelezea kwakirefu katika kitabu chetu “El-makhuluq”)Mnyezi Mungu alipendelea kuweka kiumbe kingine, tenakutokana na Ardhi hii hii, na ndipo aliposema:Qur an <strong>Al</strong> Hajr:15:28.“Na (kumbaka) Mola wako alipowaambia Malaika:“Hakika mimi nitaumba mtu kwa udongo mkavuunaotoa sauti, wenye kutokana na matope meusiyaliyovunda”.Qur an:Hijr:15:29.“Basi nitakapomkamilisha na kumpulizia Rohoinayotokana na Mimi basi mumuangukie nakumtii”.Na ijapokua Malaika waliingilia kati kutaka kufupisha azmaya Mnyezi Mungu juu ya kuumbwa Mtu, lakini mwishoewalisujudu (lau sijda hiyo siyo kama ile ya kwenye swala. Hii nikuinamisha kichwa tu, kuonyesha kumtukuza huyo umsujudiaye).Kwa heshima na taadhima hiyo Mnyezi Mungu anatukumbushakatika sehemu nyingi mfano wa hii, mwenye:Quran:Israh:17:70.“Na hakika tumewatukuza wanadamu na tumewapavya kupanda bara na baharini, na tumewaruzukuvitu na tumewatukuza kuliko wengi katika wale30.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!