12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

aabudiwaye kwa haki illa yeye basi nyinyimnageuzwa -wapi?"PANDE LA DAMU:wakati Bwana Mtume SAW alipojulisha juu ya hilo pande ladamu, bila ya shaka yeyote alimaanisha Roho - kwani hiyo damuchafu ndio chanzo cha Roho(Man-bair-ruh) Na huenda kiwiliwili kizima mfano wa Nuru ya taainavyozagaa katika chumba. Si rahisi kuashiria kwa mkato nuru-ikosehemu gani khususi, ndani ya chumba hicho. Hiyo Roho iliumbwazamani, kabla ya kiwiliwili, haipungui miaka alfu nne kabla; ilamiaka yote hiyo huenda ukashangazwa kuona kua ni makadirio yasiku nne mbele za Muumba Sub-hana wa Taala. Hiyo, katikakutafutiana, na kutofanana na yeyote amenasibisha siku yake mojakwa hisabu zetu za hapa duniani ni, kadiri ya miaka <strong>Al</strong>fu moja;imeonyeshwa katika:Qur an: Surat As-sajada: 32 : 5."Anapitisha mambo yote yaliyo baina ya mbingu naardhi, kisha yanapanda kwake kwa siku moja tuambayo kipimo chake ni miaka elfu mnayotumianyinyi katika kuhisabu kwenu"Na katika makadirio hayo Mnyezi Mungu alitangulia kuumba Rizikina akaitanguliza hapa duniani ambako alikwisha panga kumletakhalifa (Viceregent) kama ilivyo katika:Qur an: Sura ya 41:10.22.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!