12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

na maslahi ya Uhai wetu hapa duniani. Angalia vile alivyosemakatika:Qur an: A`arafa: 7:180.“Na Mwenyezi Mungu ana majina mazuri mazuri,muombe kwayo. Na wacheni wale wanaoharibuutakatifu wa majina yake. Karibuni hivi watalipwayale waliyokuwa wakiyatenda”.Neno: “Muombeni kwayo” si neno jepesi kwa wenyeakili, kwa wenye Tadabbur kwa sababu Ulamaa wamegundua mengindani ya maneno machache kama hayo . Mathalan ukizingatia tangupale aliposema:Qur an: Dhaariyaat: 51: 56.“Sikuwaumba Majini na Watu ila wapate kuniabudu”.Na aliposema:Qur an Banu Isra-el: 17: 110.“Sema, muombeni (mwenyezi Mungu) kwa (Jina la)<strong>Al</strong>lah au muombeni (kwa jina la) Rahmaan, kwajina lolote mnalomwita (katika haya itafaa) kwaniana majina mazuri mazuri”.Ni (hakika) yenye kuonyesha jinsi wazi kuwaMnyeziMungu anapenda kuombwa (kinyume na sisi ambao huchukiakuombwa sana sana hata tukiwa matajiri au wakwasi vipi), na80.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!