12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Qur an:<strong>Al</strong> Infitar:82:6.INSAAN“Ee Mwanadamu! Ni nini kikudanganyacho naMola wako Mtukufu (hata ukamuasi)”.Ewe Insaan, Mtu bila ya kutazamwa viungo vyake auUbinadamu wake, lakini ni Insaan. Wala Mayyiz zake namnaanavyomili, tabia alizopewa mara asimange mara afurahi, haya sioyanayotizamwa hapo. Wala haitazamwi Aadami – Mara kachoka,mara usingizi, lakini - Insaan.Haya ni maneno matatu tofauti. Insaan ni yule Mtu, yule“yeye” au “wewe” au “mimi”; anaeazimia, anaekusudia,anaechagua. Anapochagua Insaan kwenda pahala aliechagua ninani? Insaan.Sehemu ya Ubinaadamu imetumwa tu. Miguu imetumwa tu,na viungo vingine vimetumwa tu. Inaweza na Ubashari ukawaumekuja kati, labda kuna mkate na mchuzi Ubashari unatamanimkate na mchuzi ukazidi kukutia hamu uende. Lakini Insaan yuleanaependa, anaehusudu, anaechukia, anaetakia watu wema,anaekumbuka Uungu, anaekumbuka kiyama. Hata mwili ukifa“yeye” yuko na yeye, ndiye anaeulizwa kaburini, anaeulizwaBarzakh.Kwa hiyo Qur an inapotaka kusemea Mtu namna hiyohumwambia “Insaan” – Mtu, humwambia Insaan – Haikuambiwa“Ya Adami”, “Yaa ayyuha Adam” au “Yaa ayyuha Bashari”.“Yaa ayyuhal Insaan” ndo inamtofautisha baina yake yeyena Malaika, baina yake yeye na Wanyama wenginene, ni kuaInsaan – Wewe Insaan si kwa Mwili (bali) kwa Roho.KUMALIZIKA MWILI36.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!