12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Ujumbe waAhly Majaalis:Assalam <strong>Al</strong>aykum:Ndugu Msomaji lengo la kitabu hiki siyo biashara;Madhumuni makubwa ni kuwa Waislamu wanufaike namafundisho ya Dini yao, kwani si wengi waliobahatika kupataIlmu ya madrasa eidha ukubwani au wakati wa utoto wao.Kutokana na gharama za uchapishaji kuwa kubwa ndiyoimetubidi tukiuze kitabu hiki ili kufidia gharama na tuendeleekutoa vitabu vingine.Kama Muislamu yeyote atakuwa yuko tayari kutoagharama za uchapishaji ili avitowe bure hivi vitabu, basi sisituko tayari. Awasiliane nasi ili tufanikishe hilo kwa ajili ya<strong>Al</strong>lah.Wabillahi Tawfiq.87.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!