You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
MALIPO YA PEPO KWAWAPENDANAO LILAHI:Itanadiwa:-“Aynal muta-ha-bbi-na- lijala-li adhilluhum tahta dhilliyawma laa dhillu illa dhili”.“Wako wapi wanaopendana kwa ajili ya Utukufu wanguniwafunike chini ya kivuli changu, siku ambayo (leo)hapana kivuli illa kivuli changu”“Wajabat mahabbati lilmutahabbi-na-fiiya”“Yamepasa mapenzi yangu kwa wenye kupendanakwa sababu yangu”.“<strong>Al</strong>-mutajali-sin fiiya”“Wenye kukaa pamoja kwa ajili yangu”Na kuna watu saba: “Yudhillu-humu llah tahta dhilluhu yawmala dhillu-hu”. Mmoja Imam -A-adil - Waja wake wenye kufanyauadilifu. Na katika hao waliotajwa, “Shabun Nashaa fii twa-atiilaha”. Kijana kakulia katika twaa, fi ibadatil-laha – katika ibada yaMnyezi Mungu (kama vijana ambao wana Swala zao tano,wanakutana kwa ajili ya Mnyezi Mungu <strong>Al</strong>-hamdu-lillah inatakawashukuru. Na alama kubwa ya kushukuru ni kuepukana nakumuudhi Mnyezi Mungu kadiri unavyoweza.“Sha-bbun nasha-a fii twa-ati llahi warajula-ni tahabbafil-la-hi”“Watu wawili wamependana kwa ajili ya Mnyezi Mungu ““ljtamaa alay-hi”.“Wamekusanyika kwa sababu ya Mnyezi Mungu”“Wa-tafarraqa alay-hi”.“Wamefarikiana kwa sababu ya Mnyezi Mungu”.47.