12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Kuifahamisha ule uovu wake Nafsi na wema wake. Na akizidi Mtukujitakasa kwa kuongeza mambo mema, basi huingia kwenyeutawala wa Nafsil:4. Mut-mainna – Ambayo huwa ni ile ilotulizana kabisa. Penginehuitwa Moyo, Pengine huitwa Roho, pengine huitwa Akili, (hizini jitihada za Ulamaa).Nafsil Mut-mainna imetajwa ndani ya Suratil Fajr:Qur an:Fajr:89:27.“Ewe Nafsi yenye kutua”.Mtu hupata utulivu mzuri sana ambao husababisha Moyo, Akili, naRoho kutua kabisa kama siye alokua na vituko. Badilika badilika hiiinaenda toka hapa mpaka kuingia katika:5. Ra-dhiya – Ambayo ni hali ya kurudi kabisa kwa Mola wakeMtu, na zaidi ya kuridhiwa pia na Mola wake Mtu hapo hua:6. Mardhiyya – Ambayo ndiyo iko katika kukwea sana. Na Nafsil:7. Kamila au Swafiyya – Ambayo ni Nafsi ilosafika kabbisa. Nazama ikishafika hali hiyo hurudi ikajiunga na Roho, na ikishafikahali hiyo basi haitazamiwi kutoka tena hapo. Na hapo ndipo Mtuanapokua “Minal fa-izina”. – Qad aflah man zakkah.Ipo Falsafa kubwa sana katika jambo zima la Nafsi, lakini natutosheke na lile la kupatikana nguzo ya sita ya Imaan ndani ya haliya Nafsi Mar-dhiyya:“Khayri-hi wa Sharri-hi Mina Llahi Ta`ala”.Na haimkiniki kuyakatia tamaa majaribio ya Mnyezi Munguwakati Mtu anafahamu wazi wazi kua maisha ya hapa dunianiyamepangwa sehemu kubwa ya mitihani ambayo ili kuifaulu, basimisuko suko yake ni mingi ambayo anatakiwa Mtu kuifungiakibwebwe.Qur an:<strong>Al</strong>-A`nkabuut:29:1 -2.“<strong>Al</strong>if Lam Mym, je watu wanadhani wataachwa33.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!