12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

tayyibi-n Sala-mun alaykum -ud-khulul jannat”.“Ingieni peponi”, pepo gani? Pepo ya Barzakh, kiyama bado(haijafika) hakijaja. “Ud-khulul jan-nat” – “ingia Peponi” Namwengine Barzakh wanataabika, kama Firawni na watu wake“Anna-ru yuuradhu-na alay-ha (him)”.“Moto unakabilishwa juu yao asubuhi, na jioni”.“Ghuduwan wa ashiyyan, wa yawma taquw-mus-sa-ati” - Na siku(ya) kiyama kitaposimama. “Ad-khilu – watieni-<strong>Al</strong>afir-awni”.- Firauni na watu wake. “Ashad-dal adha-ba” - Adhabu kali kabisahiiwapi – “Sab-han, wa Masa-an”. “Ghuduw-wan au “Wa shiyyan”– Barzakh. Ukipita kwenye makaburi unaona bas. Kuna watu wakokatika taabu kubwa, na wengine wamo katika raha kubwainategemea umetengeneza nini huko.Basi, muhimu ni Sulu-k kujaribu kujitengeneza, uwe natabia nzuri, hata ukionekana uwe unajulikana.49.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!