12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Usiku wa Iddi hadi kufikia al fajiri na baadae kidogo, lakiniisifikie hadi Kuswaliwa Sala ya Iddi – itakua haramukuichelewesha hivyo. Kuitoa kwake ni Vibaba 4 kiasi yaPishi au kilo 2 na Thuluth. Kwa kila anayekutegemea wewechakula (wengine wamejuzisha - awe Muislamu).(Kwa yote hayo tazama “HidayatulAtfal” kurasa wa 53 cha Sheikh<strong>Al</strong> Amin bin <strong>Al</strong>y, na “Mahadi ya Fiqhi” juz 3 ukurasa wa 44 chaSheikh Abdul Jabbar).8. Madini na Rikazi: Utatolea baada kuuza, sio kungojaMwaka4. Kufunga Mwezi wa Ramadhani:Siku Thalathini – Isipokuwa mtoto mdogo, Mwendawazimu, Asiyekuwa Muislamu, Mwenye Edhi na Nifasi,Mzee, Mgonjwa na Msafiri.5. Kuhiji Makka:Kwa mwenye uwezo katika Waislamu, Mwenye Akili,Wakubwa na Huru – Kwani hizo ndio shuruti zake Hijja,Swaumu, Zakka na baadhi ya Ibada zingine ni miongonimwa zenye kupasa kujifundisha wakati wa shida. LakiniIlmu nyingi ni lazima saa yeyote uwe unajua amma sivyoitakuwa umemukhalifu Bwana Mtume Saw…..Uislamu ndani ya Swala:Amesema Bwana Mtume Saw:“Aswalatu Imaadud diin, faman aqa-mah aqaamaddiniin, Waman adhaa-aha afaqad hadamad diin”“Swala ni nguzo ya Dini, (basi) mwenye kusimamishaSwala, huwa amesimamisha Dini, na mwenye kuicha(kuipuuza – kuipoteza) hua ameibomoa Dini”.Hadithi hii inawafiki kiupande na maelezo yaliomo ndani ya Ayanamba 42 – 49 ya Suratil <strong>Al</strong> Mudath thir – 74.69.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!