12.07.2015 Views

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

Read - Al-Faqeer

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Dibaji:Kitabu hiki kilichoandikwa na Mtoto wetu kimekusanyamengi yenye maana kubwa na ya msingi wa Kiislamu.Amejulisha Umoja wa Mwenyezi Mungu na Mapenzi yakejuu ya Mtume Muhammad Saw. Aya alizozitia katika kitabu hikizinathibitisha kuwa yeye Sayyidna Muhammad ni Mjumbe wamwisho kabisa wa pekee ambaye hapana njia yoyote nyingine yakumjua Mwenyezi Mungu, ya Kumtii na kujisogeza kwake ila yeyeMustafa, aliyechaguliwa.Ahmad amefanya vizuri kutaja baadhi yalolazimu juu yaUislamu na yaloharamishwa, na kuonyesha alama za kweli zaMuumini, katambulisha umuhimu wa kutengeneza Moyo, kwanivitendo vya viwili wili, ijapokuwa Muislamu hana budi navyo.Havitoshi ikiwa Moyo umeachiwa uwe Mchafu.Moyo ukiwa safi ndipo vitendo vitapokubaliwa, hapanashaka kuwa tabia njema ndio lengo la Dini ya Kiislam, na kitabuhiki kimewacha wazi hayo. <strong>Al</strong>hasili atayekisoma kwa Insaafu nakuzingatia atapata faida ni nyingi zilohusu Islamu, Imaani na Ihsan.Mwenyezi Mungu ambariki aliyekitungaOmar Abdallah.v.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!